KERO Mjini Magharibi, Zanzibar: Mkandarasi aliyepewa mradi anatuumiza wananchi

KERO Mjini Magharibi, Zanzibar: Mkandarasi aliyepewa mradi anatuumiza wananchi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu ni kucheleweshwa kwa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Alinato mpaka Posta inayojengwa na kampuni ya CRJE.

Imefika miezi mitatu sasa haijafanyiwa marekebisho tangu walivyoichimbua.

Wajasiriamali na wafanyabiashara wa maeneo haya tunateseka kwa muda sasa kwa kupisha mradi wa barabara umalizike tuendelee na biashara zetu.

Tunaomba ZANROAD na wanaosimamia hii miradi watusaidie kumaliza huu ujenzi.

Ahsante

PXL_20260210_160602795.jpg
PXL_20260210_160624518.jpg
PXL_20260210_160607333.jpg
 
Back
Top Bottom