Mjini msingi kiuno

Yani mjini nyama ya ng'ombe inapendwa ya kiuno. kwa hiyo ukipata msingi fungua bucha uuze nyama ya kiuno! upo?
 
Inaonekana i kwamba ukitaka kujenga nyumba msingi ni kiuno!
 
wenyewe wanasema "Msingi pesa kiuno peleka twanga", ila msingi kiuno naweza kujadili kwamba ukiwa na shepu nzuri kwa mjini unaweza ukaishi au fanya mambo makubwa sana kiufupi ni uuzaji wa K kwa pedeshee kama akina wema nk
 
ukiishi huo msemo mjini ujiandae na makonzi ya majimama. siku mmetibuana ndo utamuelewa, utatukanwa wewe na ukoo wako mzima ndani ya sekunde 60 za magic.
 
Hataree muno usawa huu. Hakuna msingi kiuno wala msingi Halotel. Hali tete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…