Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 705
Eti huu msemo unamaana gani???????????????
Bila shaka utakuwa umevaa shanga wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti huu msemo unamaana gani???????????????
Eti huu msemo unamaana gani???????????????
Yani mjini nyama ya ng'ombe inapendwa ya kiuno. kwa hiyo ukipata msingi fungua bucha uuze nyama ya kiuno! upo?
Du ma2c ya rejareja hayo
wewe uliusikia wapi na huko uliko usikia walisema una maana gani!Eti huu msemo unamaana gani???????????????
Inaonekana i kwamba ukitaka kujenga nyumba msingi ni kiuno!
Asa iv imepanda sio form 6 tena, ni certificate..