Mjini shepu na sura tabia kijijini..

jaqfantasy212

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
542
Reaction score
258
Haya wanajamvi hii nayo imekaaje, ni kweli mjini shepu na sura tabia kijijini?
 
mjini mshiko, aka pochi, aka shekeli, sura na shepu ni matokeo kwani kuna shape za kichina pia na sura hufanyiwa ukarabati na yote hayo huwezeshwa na pesa tu. yaani mjini pochi yako tu utapata sura shepu na tabia pia. kwa vijijini sina hakika:shut-mouth:
 
mjini Chuo Kikuu...ushagoo chekechea!!!
 
we unaishi mjini au kijijini, maana kama waishi mjini wadada wenye jina kama lako huwa wamejaaliwa halafu wengi wanamiliki saluni!!!

Haya wanajamvi hii nayo imekaaje, ni kweli mjini shepu na sura tabia kijijini?
 
100..njururu ndo mpango mzima mjini na utapata kila aina unayotaka.
 
we unaishi mjini au kijijini, maana kama waishi mjini wadada wenye jina kama lako huwa wamejaaliwa halafu wengi wanamiliki saluni!!!

kwi kwi kwi...mm nimenyimwa ndio maana nauliza isitoshe mm wa kijijini...
 
Hee??...maharage ya mbeya at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…