Mjini shepu na sura tabia kijijini..

Wala usitembee katika ardhi kwa maringo. Hakika wewe huwezi kuipasua ardhi wala kufikia urefu wa milima. [17:37]
 
Mi cha kwanza nakagua makalio je makubwa? Sura kwangu sio ishu kwakuwa sifaidiki nayo.

teh teh teh... sasa wewe makalio ya kazi gani au watumia yale mambo yetu yaleeee!!!?
 
Mwanamke nyonga inayozunguka, makalio majaaliwa ya mwenyezi mungu. Kwanza hata kwa mchina yanauzwa!
raha pale unapokuwa na kalio asilia na nyonga inazunguka kuliko rim ya gari! utaakamataje mjini hapa?? ila wenzangu na mie wenye miguu ka tube lights, kaazi kwel kweli! mzima we King'asti?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahaha

Mie mzima kipenzi. Hongera kwa kufichwa. Mume wetu hajambo?
Tatizo hiyo nyonga sijui utaiadvataizi vipi mjini sasa? Na mchina hana regulator, aaagh
 
mwanamke RECEPTION bna makalio majaaliwa hata kwa mchina yanapatikana,mwanaume account isome tu mambo bambam
 
raha pale unapokuwa na kalio asilia na nyonga inazunguka kuliko rim ya gari! utaakamataje mjini hapa?? ila wenzangu na mie wenye miguu ka tube lights, kaazi kwel kweli! mzima we King'asti?
Afadhari hata tyubu laiti, kuna wale wa mabomba ya peni, au wengine utadhani wanatembelea mikono
 
Last edited by a moderator:
Mhini sura yenye mvuto nakashape kakushtua utawala wengi sana hasa waume za watu ambao wake zao wamezaa shepu zimedeteriorate na ukawa na uwezo wakumaintain nywele nzuri za kuvutia .huna haja yakutaguta kazi hapa mjini zitajileta zenyewe kwako hahaha habri ndio hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…