Mjini shule

Mjini shule

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Hutu jirani yangu aliyekuwa analalamika vyuma vimekaza leo anawacheka wanaolia na hali ngumu. Kumbe mpwa wake anaefanya kazi kwenye taasisi nyeti amempigia pande la kumfundisha mapishi mtoto wa kigogo.
Mwanafunzi anakuja Jumamosi na kapu la mazagazaga. Shost akisema ni darasa la chapati basi mwanafunzi anatumwa unga kilo 5. Mafuta litre mbili
Mjini shule jamani, Dar form six
 
Hapo maisha ni murua kabisa, bajeti yoote ya siku anaitupia kwa mwanafunzi
 
Sasa hapo mwalimu inabidi ujiongeze, wiki ijao mwambie tutajifunza mapishi ya pilau la kuku
 
Hutu jirani yangu aliyekuwa analalamika vyuma vimekaza leo anawacheka wanaolia na hali ngumu. Kumbe mpwa wake anaefanya kazi kwenye taasisi nyeti amempigia pande la kumfundisha mapishi mtoto wa kigogo.
Mwanafunzi anakuja Jumamosi na kapu la mazagazaga. Shost akisema ni darasa la chapati basi mwanafunzi anatumwa unga kilo 5. Mafuta litre mbili
Mjini shule jamani, Dar form six
Acha umbea wewe...
 
Back
Top Bottom