Mjomba wangu amenikumbusha sana Season ya LOST

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Mjomba wangu Katoka Nairobi week iliyopita, alipimwa akaonekana hana virusi vya corona lakini akaamua ajiweke karantini kwa siku 14 ili kujiridhisha, jana nilipomtembelea ndio nikashuhudia kumbe nyumb yake iliyoko chini ya milima ya usambara ndio kaamua aifanye karantini.

Kiukweli pale ndai kwake pamesheni vitu vingi sana, mafriji yana kila kitu, vitu vya kula vimepangwa utadhani anaishi supermarket, umeme upo na ukikatika jenereta linawaka automatic, kilichonifurahisha zaidi ni nyumba yake ilipo, ipo Chini ya mlima imezungukwa na msitu huwezi ukajua kama kuna mtu anaishi.

Nilipoona yale mazingira nikakumbuka sana Tv series ya LOST,kuna jamaa alikua anaisi kwenye karantini ipo chini ya ardhi katikati ya msitu mkubwa kwenye kisiwa, kazi yake ni kula tuu, kuandika namba na kupush button.

Pesa ndio kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
matafute na mwenzio Bia Yetu muendelee na upupu wenu
 
Back
Top Bottom