ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 647
- 706
Tusiache kutoa ushauri pale panapoitajika.
Kuna anko wangu mmoja nilimpa ushauri kuhusu mwenendo wa mke wake kwa siku hiyo nilionekana mpuuzi leo, yamemkuta mke wake kamtumia watu wampore pesa na kumvunja miguu. Leo analia kama mtoto nakusema anko bora ningekusikiliza.
Na anataka msaada wangu, anko najua ukipona utakuja humu ni hivi malaika hatumwi kwa umbo lake huwa tunatumwa sisi binadam wa hovyo. Kiufupu msaada wangu hupati, ule ushauri ndio msaada niliokupa umetosha.
Asante