Mjomba wangu ametumiwa majambazi na mke wake

Mjomba wangu ametumiwa majambazi na mke wake

Nia ya huyo mwanamke ni kummaliza jamaa ili aitwe mama mwenye nyumba.
 
Mbona kama umefurahia hayo yaliyompata huyo ankoli? Au wewe ndiye huyo jambazi mwenyewe uliyetumwa? Msaidie kama unaweza !Samehe mara 70 huijui wewe?
 
Back
Top Bottom