Mjomba wangu ametumiwa majambazi na mke wake

ndenjii handsome

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
647
Reaction score
706
Tusiache kutoa ushauri pale panapoitajika.

Kuna anko wangu mmoja nilimpa ushauri kuhusu mwenendo wa mke wake kwa siku hiyo nilionekana mpuuzi leo, yamemkuta mke wake kamtumia watu wampore pesa na kumvunja miguu. Leo analia kama mtoto nakusema anko bora ningekusikiliza.

Na anataka msaada wangu, anko najua ukipona utakuja humu ni hivi malaika hatumwi kwa umbo lake huwa tunatumwa sisi binadam wa hovyo. Kiufupu msaada wangu hupati, ule ushauri ndio msaada niliokupa umetosha.

Asante
 
Samehe saba Mara sabini, ujui tu ndoa zina siri uwezi kujua nini kilikuwa kinamzuia uncle wako kutoka kwenye mahusiano ayo uchawi n.k

Kuishi na mwanamke miaka hii ni zaidi ya vita.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Kumsamee nimemsamehe tena roho nyeupe ilamsaada huu anaotaka mgumu kdg

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 
As long as hajauliwa, maisha yanaendelea.

Wamempiga tsh ngp?
 
Sasa wewe umejuaje kua mke wa mjomba ndio kawatuma?,wa hao majambazi walikuambia kua mke wa anko yako kawatuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…