Tetesi: Mjue Aggy Nkurunzinza : Mwanamke mwenye wezere EAC nzima ,Sanchoka na Vera waende veta

Tetesi: Mjue Aggy Nkurunzinza : Mwanamke mwenye wezere EAC nzima ,Sanchoka na Vera waende veta

Hiki ki passo changu atakubali kupanda kweli... [emoji23]
Mamaaa haya mapya sasa jamani, ila kazuri kale kadada sijui wanaume hawamuoni waoe,za kunyapia nyapia eti ukitaka mtoa lunch lazima kwanza uwe na gari na umwambie hotel gani unampeleka
 
Sasa si tu naangalia atakufa au raha ya 6x6...[emoji23]
Hivi wabongo hawa mabonge nyanya hua mnayapendea nini?
Unene sio afya mjue? hao ni walking time bomb anytime wanaweza anguka kwa presha, jitahidini kufanya mazoezi muwe na miili mizuri, haya mabonge yamejaa hata insta yana followers kibao sijui sababu hasa ni ipi.
 
Kama ni masosholist huyu tu anamtosha
images%20(4).jpeg
images%20(3).jpeg
images%20(2).jpeg
images%20(1).jpeg
images.jpeg
 
Hahahaha ndio utafute nyingine kama unataka kula vitu vizuri
Dah ngoja tuendelee tukaze buti..ila wanaume hatukubali kushindwa nitakodi hata Range
Nivutie basi ka namba cha jirani
 
Back
Top Bottom