tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Najua huwa anauza nguo za wadada kama hajaacha
Mamaaa haya mapya sasa jamani, ila kazuri kale kadada sijui wanaume hawamuoni waoe,za kunyapia nyapia eti ukitaka mtoa lunch lazima kwanza uwe na gari na umwambie hotel gani unampeleka
Kubonyezwa.....
hahahahahhahahhahhahaha nimejikuta nakuelewa sana!DUDE KAMA HILI NI KAMA UNAENDESHA DISCOVERY HUSIKII HUMPS ZA GOBA WALA MAWE MAWE YA MPIGI MAGOHE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ilo vazi lake ata wew ukivaa utaonekana una chura wala asikutishe
Sent using Jamii Forums mobile app
joshua hao jamaa nini kiliwakuta....Hapo je?
Waliiba bodaboda. Wakawataitijoshua hao jamaa nini kiliwakuta....
aisee.... ila poa tu waga wanazingua....Waliiba bodaboda. Wakawataiti
yale mawe balaahahahahahhahahhahhahaha nimejikuta nakuelewa sana!
Mana ndo ruti yangu kwenda na kurudi home!
NIMECHEKAAAAAAAAAAAA!
so mawe ya kushuka kwa Mgalula pale we utakuwa unaskia kuserereka tu!
AHAHAHHAHAHAHHAHA yani hata leo asbh nilivokuwa napita hapo nikakumbuka comment yako halafu nikarelate!yale mawe balaa
HAHAAAAAA BALAAA, ILA MPIJI MAGOHE PAKO VIZURI JOTO LA DAR HALIFIKIAHAHAHHAHAHAHHAHA yani hata leo asbh nilivokuwa napita hapo nikakumbuka comment yako halafu nikarelate!
kama mpaka pale utapita kama upo kwenye lami!
hizi hips zitakuwa ni hataar faya!
HATUNA MALALAMIKO YA JOTO SIE!HAHAAAAAA BALAAA, ILA MPIJI MAGOHE PAKO VIZURI JOTO LA DAR HALIFIKI