Mjue Alka Yagnik, mchawi wa melodies za Bollywood na mafanikio ya Shahrukh Khan

Mjue Alka Yagnik, mchawi wa melodies za Bollywood na mafanikio ya Shahrukh Khan

huwezi kuongelea bollwood katika kuimba ukawaacha LATA MANGESHKAR,KISHORE KUMAR na GUJRAAL KHAN achana na hao ma legend..ukija ishu za miziki hasa sad songs kwa hawa jamaa utalia sana.ukienda mbele ukarudi nyuma miziki ya zamani ni mitamu kuliko ya sasa!
ongezea Mohammad aziz, Kumar sanu, Udit Narayan na asha Bosle, pia kuna mwana mama sandhana Sargam
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana huyo mama anajua kuimba ila kwa Mimi namkubali sana sonu nigam maana jamaa akiimba live au akiwa studio vyote sawa
Sonu nigam yuko vizuri kwakweli
 
Arjit Singh ndiye mkali wa masongi makali kwa sasa
ananyimbo zaidi ya 100 ametungia wasanii from shahrukh khan, ranbir kapoor,

nyimbo zake kama Tumhiho
Hamdad, chahunga,

tafuta collection yake youtube
Unamjua arman malik
 
Anuradha padwal huyu ndo mwenye sauti tam mpaka leo
 
Kizazi cha sasa huwezi acha ongelea Neha Kakkar na Shreya Ghoshal kwa wanawake . Ukiwasikia hawa sauti zao live utaamini bongo hakuna waimbaji bali wote ni wakuchota na kusukuma ndani.
 
Kizazi cha sasa huwezi acha ongelea Neha Kakkar na Shreya Ghoshal kwa wanawake . Ukiwasikia hawa sauti zao live utaamini bongo hakuna waimbaji bali wote ni wakuchota na kusukuma ndani.
Neha anakuzwa sana ila kuna dem anitwa palak muchal huyo noma ila hatajwi sana
 
Nitajie nyimbo zao, maana hits zote za 1990's na 2000's humkosi alka yagnik
Kuanzia miaka 70's kuja 80's mpaka 90's wame dominate sana hasa Lata mangeshkar, Alka miaka ya 90's hakika nae alikuja kasi sana
 
Kuanzia miaka 70's kuja 80's mpaka 90's wame dominate sana hasa Lata mangeshkar, Alka miaka ya 90's hakika nae alikuja kasi sana
Alka akiimba live unaweza ukasema kinanda kinapigwa
 
Back
Top Bottom