Mjue Baba Vanga na maajabu ya ajabu

Sisi tumelemazwa na habari za udaku na umbea hayo ya uvumbuzi hatuyawezi.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tumelemazwa na habari za udaku na umbea hayo ya uvumbuzi hatuyawezi.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mwanangu, vipi hamjambo? Nimeondoka bila hata kuwaweka macho basi tu. Endelea kukusanya vijana ili waweze kuwa wagunduzi hata wa mitego ya samaki ambayo si ya plastic. It will help our lakes.
 
"Siraha" ndiyo nini? Au ni kinyume cha si tabu?
 
"Siraha" ndiyo nini? Au ni kinyume cha si tabu?
Nakiri kuwa siko vizuri katika uandishi wa Kiswahili ila nilikuwa ninamaanisha "weapon" Ikiwa nimekosea naomba uniambie ni neno gani sahihi.
 
Slitabi
time will tell.. huku nyuma kabla ameshatabiri mangapi nayakatokea ili walau tuwe na hata 5% ya utabiri wake

Alitabiri kuwepo Rais mweusi Marekani na baada ya yeye Marekani haitakuwa na Rais tena. Tunausubiri utabiri huu kutimia kwa hamu kubwa.
 
We mulongo sana

No matter how brave you think you are, never underestimate God
 
KUMBE YESU KURUDI BADO SANA
Bwana Yesu kurudi bado sana na pia ni karibu sana maana hakuna anayejua siku wala saa. Isipokuwa yale majira na ishara za mwisho ndiyo zimetajwa ila mwisho wenyewe haufahamiki! Anayejua Ni Mungu Mwenyewe tu, hata huyu anayetajwa kama mtabiri wa hayo yajayo huo ni utabiri wake binafsi kwa sababu ameongelea mpaka mwaka ambao ndiyo mwisho wa dunia wakati mwisho hakuna anaye ujua zaidi ya Muumba mbingu na nchi Mwenyewe. Utabiri wake hauendani na maandiko Matakatifu ila inataka kama kufanania tu lakini siyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mulongo sana

No matter how brave you think you are, never underestimate God
Kaka yaani hapo hakuna kitu ni ulaghai tu wa kishetani. Maana haya mambo yameandikwa kwenye vitabu Vitakatifu. Shetani anakuletea kitu kama vile cha kweli kumbe ni kopi tu na uongo wake anauficha kwa ndani saana! Usipokuwa na Mungu huwezi kugundua wapi amedanganya. Huwa anafanya vitu vinafanania kumbe siyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…