BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Impressive
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nawashangaa vijana maana nami ni Muhenga.La ISIS ningekubali kama wasingevurumishwa Iraq na syria lakini wanahamia kwingine kama Ikwiriri, Amboni, Somalia Kenya.
Clone hiyo iliishaanza tunaona mpaka kuna mbwa wenye sura za ajabu ambao wanazalishwa lakini siyo kwamba ni mbegu yao.
Kwenda kwenye Mars hata tusubiri on Sunday kile chombo kilichotumwa kwenye seventees kinakuja kufia kwenye sayari ya saturn. Kitatueleza siri tusiyoijua ya hiyo sayari. Vile vya mars vilishagundua na bado vipo busy.
Aliens tumeambiwa kwenye mapokeo na wapo wanaothibithisha kuwa hawa viumbe walishakuja. Watu wanauliza jinsi mapyramids ya South Amerika, Egypty kweli hayakupata usaidizi na kuhusu kanisa la mtakatifu Mary kule Ethiopia lililojengwa kwa kukata mwamba lilijengwaje? We are not alone.
Maua kawaida yana harufu lakini sasa hivi ua zuri lakini huna harufu sababu ya kuclone na sisi tumekuwa kama hao wanaokuja.
Je, Watanzania tutakuwa watu wa mwisho kuwa wenye akili nikimaanisha wagunduzi? Mnitoe mimi nimezeeka ila vijana ambao wanashinda humu wanaongea upupu kwa nini msianzishe group ya JF innovation group halafu mkatuomba hata contribution ili mradi mnasema mnataka kugundua nini, mko wapi na mna uwezo gani badala ya kwenda kwenye udaku na mahusiano na miziki ambayo you are not part of it.
Msipofanya hivyo climate change itakuja kabla hata sisi hatujaisha na nyinyi mtabaki yatima wenye njaa.
Nawakilisha.
cc. elmagnifico
Hahahaha...Bravo! nimecheka sana na kutafakari at the same time. ubarikiwe mkuuMsipofanya hivyo climate change itakuja kabla hata sisi hatujaisha na nyinyi mtabaki yatima wenye njaa.
Nawakilisha
Sana mkuu, sioni sababu ya kutiana hofu kuwa yukaribu jurudi. Kwanza hajatajwa kbs.KUMBE YESU KURUDI BADO SANA
maisha yapi hayo?Ila kwa kweli tujue tu kwamba kuna maisha baada ya haya, ila inatisha na kukatisha tamaa
Kuna maisha baada ya haya, kwa wengine, si kwa wewe tena! Ukifa you are done dude.Ila kwa kweli tujue tu kwamba kuna maisha baada ya haya, ila inatisha na kukatisha tamaa