Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa


Mkuu usitumbie kua hii habari yako ya kuacha kazi sabab ya maneno ya uyo mtu ni ya kweli!!Maana Tutakosa jina la kukuita
 
Za kuambiwa changanya na zako
J M Kikwete
 

Akili ya kuambiwa changanya.na yako
 
@W.J. Malecela mbunge mtarajiwa wa Mtera mbona bado kimya...tupe appointment date ili tukutembelee kwa lengo la kukushawishi ili ugombee ubunge wa mtera...!
 
Cjakuelewa unaweza kunielewesha ama kubadili kidogo ili nielewe

Aisee una akili ngumu sana best.Hata hivyo iko hivi...Jamaa kaleta habari kua kaacha kazi kwa kufuata ushauri wa huyo bikira wa kisukuma ndio maana nikasema nimechafukwa! Tazama hata ID yake ikoje halafu jiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…