Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
Mtupe na taratibu za mazishi jamani.tunaweza tukahudhuria.
Wanaaga kesho sa nne asubuhi pale leaders club, mazishi ni makaburi ya kinondoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtupe na taratibu za mazishi jamani.tunaweza tukahudhuria.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe Tafadhaliwewe na uoga wako tu mkuu
Ahsante.nitakwenda.Wanaaga kesho sa nne asubuhi pale leaders club, mazishi ni makaburi ya kinondoni.
Miss wangu alikuwa anaumwa nntusifiche maradhi wakuu.. hata kama unajiona una nguvu ukishapata tatizo bora kuwa wazi ukapata ushauri wa daktari .. any way huwa tunasema kifo hupangwa ila vingine hujitakia labda angepata hata mwaka mmoja zaidi ... lala kwa amani seth, sote tutarejea ila si kwa uzembe ..
Si angekuwa anamwagiza MTU jaman .. DaahSijui bana labda aliona aibu kwenda kuchukua
Mjamaa alikuwa kungwi yule ....alaf madem wengi ndo wafuasi wake ....rip Seth ..R.i.p kuna wengi sana watalia huko ista.
upo mkuu umakini muhimuSi angekuwa anamwagiza MTU jaman .. Daah
Nlikuwa na apoitment wa mgegedo lakin hisia zimekata gafla
NDE...what?Ndefu ndio nzuri
...oh.,kumbe kitako unacho!?Hapana sikumpa chochote zaidi nilimshangaa kunitongoza mimi, maana watu famous wanatakaga famous wenzao sasa mimi maisha yangu tu wereva tosha ,kimemvutia nini? kihips/kitako ndio anizukie
nikaogopa
Sent from my Iphone-7 using JamiiForums Mobile App
Mimi kwa muda wa siku mbili nilikuwa najua marehemu ni mwanamke.Kwa nini alijiita bikira wa kisukuma wakati yeye ni kidume?
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Ideas za Robert Kiyosaki zinataka maandalizi na umsome umuelewe na siyo hadithi za hawa mabakuriOne thing I want to tell you ni kwamba. Kuna watu wapo so talented kwenye kuongea. Na wana penda kutumia hicho kama mechanism ya wao kutoka kimaisha. Its simply what bikira is doing. Yeye hana anachokijua zaidi ya kumpliment idea za watu na kuziweka kwenye literature. Koz anajua kuandika ukawa konvinced. We uoni na pumba alizokuwa anaandika. Is simply a comedian na kupromote kazi za watu.
Akili za kuambiwa, changanya na zako!!!(in Mkwere's voice)Nimekua nikimfatilia sana huyu kijana na inspiration stories zake za kuhamasisha vijana kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe kama alivyofanya yeye kuacha kazi Heinken.....na miminikaacha kazi bwana ..Joto nalokula huku mtaani ni mm mwenyewe najua.
Cha kushangaza aliyekua anatushauri naona kaajiriwa E-FM .....KWELI NIMEAMINI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI