Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Kwanini alijita bikra?

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Poleni Familia ya Giovann Seth.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
tusifiche maradhi wakuu.. hata kama unajiona una nguvu ukishapata tatizo bora kuwa wazi ukapata ushauri wa daktari .. any way huwa tunasema kifo hupangwa ila vingine hujitakia labda angepata hata mwaka mmoja zaidi ... lala kwa amani seth, sote tutarejea ila si kwa uzembe ..
Miss wangu alikuwa anaumwa nn
 
Hapana sikumpa chochote zaidi nilimshangaa kunitongoza mimi, maana watu famous wanatakaga famous wenzao sasa mimi maisha yangu tu wereva tosha ,kimemvutia nini? kihips/kitako ndio anizukie
nikaogopa

Sent from my Iphone-7 using JamiiForums Mobile App
...oh.,kumbe kitako unacho!?
 
Kwa nini alijiita bikira wa kisukuma wakati yeye ni kidume?

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Mimi kwa muda wa siku mbili nilikuwa najua marehemu ni mwanamke.
Hadi nilipoiona picha yake, nikashangaa.
Kujiita majina yasiyoeleweka kuna athari kubwa kwenye maisha halisi.

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Rest Well Seth................leo nilipokutana na msafara wako ndio nimeamini umeondoka. Mungu akurehemu na akupe makao mema.
 
One thing I want to tell you ni kwamba. Kuna watu wapo so talented kwenye kuongea. Na wana penda kutumia hicho kama mechanism ya wao kutoka kimaisha. Its simply what bikira is doing. Yeye hana anachokijua zaidi ya kumpliment idea za watu na kuziweka kwenye literature. Koz anajua kuandika ukawa konvinced. We uoni na pumba alizokuwa anaandika. Is simply a comedian na kupromote kazi za watu.
Ideas za Robert Kiyosaki zinataka maandalizi na umsome umuelewe na siyo hadithi za hawa mabakuri
 
Nimekua nikimfatilia sana huyu kijana na inspiration stories zake za kuhamasisha vijana kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe kama alivyofanya yeye kuacha kazi Heinken.....na miminikaacha kazi bwana ..Joto nalokula huku mtaani ni mm mwenyewe najua.

Cha kushangaza aliyekua anatushauri naona kaajiriwa E-FM .....KWELI NIMEAMINI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI
Akili za kuambiwa, changanya na zako!!!(in Mkwere's voice)
 
Back
Top Bottom