Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
CD4 ni kama JWTZ mwilini, virusi ili viishi kwenye mwili vinajichanganya na CD4 cells na kuwanza kuviua na kutoa copy zenye virusi. Ukinwywa ARV zinaua virusi wanaotembea kwenye damu na ku inhibit virusi visizaliane. Virusi vikizibitiwa Jeshi la CD4 linaingezeka. Fikiria nchi bila jeshi la ulinzi kila adui atatushambulia ni kama mwili bila CD4.
Madam Sky,
ARVs 'zinaua' HIV waliopo kwenye blood stream ?!!
Yaani arv 'ZINAUA' HIV?
-Kaveli-