Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ukinywa ARV'S kwa kufuata maelekezo ya daktari wadudu vwanaotembea kwenye damu wanakwisha na virus vinadhibitwa haviwezi kuzaliana tena hiyo ndiyo undetectable status.nielezee bana maana leo nimeamini ngoma ipo ila nashindwa kuelewa imeondokaje na jamaa fasta hivo