Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

CD4 ni kama JWTZ mwilini, virusi ili viishi kwenye mwili vinajichanganya na CD4 cells na kuwanza kuviua na kutoa copy zenye virusi. Ukinwywa ARV zinaua virusi wanaotembea kwenye damu na ku inhibit virusi visizaliane. Virusi vikizibitiwa Jeshi la CD4 linaingezeka. Fikiria nchi bila jeshi la ulinzi kila adui atatushambulia ni kama mwili bila CD4.


Madam Sky,
ARVs 'zinaua' HIV waliopo kwenye blood stream ?!!
Yaani arv 'ZINAUA' HIV?

-Kaveli-
 
Usiogope hata Mimi ni doctor...ni pm nikupe formula ya kuua hivi virusi [emoji4]

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
Tulibishana sana hapa kuhusu hizi research za deception, ARV's ukizitumia kufuatana na maagizo unafikia undectable status hapo unakuwa huna wadudu kwenye mzunguko wa damu na CD4 wanaongezeka.
ni watu au ni cell?
 
Huyu kijana form six mpaka chuo alikuwa ameokoka, ameimba sana gospel vyuoni especial makongamano maarufu ya from hero to zero 2008's
 
Mkuu aya mambo bora kuwa makini tu usije ukakanyaga waya maana acha kabisa. Mi mwenyewe kumeza dawa tu za kawaida naogopa hiyo adhabu za kila siku sidhani kama ntaiweza kwa kweli. May Jah forbid it.
Acha ngono kabisa
 
Kama ndo hivyo huyu kiumbe atakua kaacha kilio kikubwa huku duniani. Kuna binti alikua anaishi nae kinyumba namfahamu ila walikuja kuachana. Sijui kama kasalimika binti wa watu [emoji31][emoji30]
Wabongo kwa figisu figisu tumeshindikana, kisa katangulia basi ndo story zake zinaanza kutiririka za uongo na kweli
 
Hapana sikumpa chochote zaidi nilimshangaa kunitongoza mimi, maana watu famous wanatakaga famous wenzao sasa mimi maisha yangu tu wereva tosha ,kimemvutia nini? kihips/kitako ndio anizukie
nikaogopa

Sent from my Iphone-7 using JamiiForums Mobile App



wewe na uoga wako tu mkuu
 
poleni sana

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom