Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Basi lengo lake limefanikiwa..Mana amepata attention ya kutosha
 

safi sana talented dude
 
Jamaa kuna kipindi alikua kibonge baada ya kutumia madawa yao ya kupunguza unene now karud kwenye hali yake
 
Mimi sijawahi kumsikiliza anavyotangaza, inamaana na kwenye kipindi chake anatumia hilo jina La bikra au? Kazi kweli, eti naye Ana wafuasi
 
Hivi mwanaume ukiwa handsome unahisiwa vibaya kwanini?
sielewagi

Mwanaume ULIYEKAMILIKA Na SHABABI Lazima Uwe Na SURA CHUNGU, Yenye CHUNUSI Za SHIDA Na Mwonekano Wa KIBABE Huku KIKWAPA Kikiwa KINATEMA Kimtindo Siyo Kama Hao Vijana Wako Ambao Kiukweli Wanaonekana Kabisa Ni Members Wa KUTUKUKA Wa Magomeni Mapipa Kwa Macheni.
 
Huyu nae ni celebrity? daah kazi kweli kweli...
 
Sipatii picha siku nikipokea taarifa mtu kama Kalapina anatatuliwa marinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…