Mjue binadamu wa ajabu anaitwa Unju bin Unuk

Mjue binadamu wa ajabu anaitwa Unju bin Unuk

Bwana Unju mguu wake mmoja upo Kongo na mwingne upo Bongo.Daaaahh,huyu kaburi lake si mchezo ila tunaambiwa pamoja na ukubwa na urefu alokuwa nao,jamaa kaburi yake ipo ipo hapa hapa Bongo.
Kwa kweli ni siamini japo kuna kaka yangu Siku moja alikua kaenda kwa rafiki yake usiku kachelewa kuludi akatoka huko SAA 7 usiku wakati analudi anasema alipofika mitaa fulani Malibu na uwanja wa shule ya msingi aliona jitulefu urefu wake km mnala wa simu limesimama mguu pande anasema distance ya mguu mmoja hadi mwingine ilikua goli moja hadi lingine kwa uoga alikaa chini alituambia baada ya km DKK 20 liliondoka kwa hatua ndefu ndefu
 
Niliposoma tu hapo “kulikaribia jua”
ndipo nikaona hii ni chai tu
 
Hivi ushawai sikia story za mtu kiumbe kiitwacho Unju bin Unuk?

Basi ngoja nikusimulie kwa ufupi!

Unju bin Unuk ni mtu aliepata kuishi zamani inakadiriwa aliishi karne ya 16-17 uyu jamaa kuna watu wanamsema ni moja ya manabii, wengine wanasema ni mtu tu wa maajabu.

Unju bin unuk alikuwa na urefu mkubwa sana na mwili mkubwa kuwahi kutokea duniani alikuwa ana uwezo wa kuingia baharini na akaokota samaki kwa mkono akiwa ndani ya maji na akamkausha na jua kwa kunyoosha mkono juu na kurikalibia jua.

Pia jamaa inasemekana alikuwa na uwezo wa kutembea kwa kuruka ruka; jamaa inasemekana hata Tanzania alishawai kuwepo alipata kuishi maeneo ya Kilwa Kivinje na kaburi lake ndo Lipo uko.

Jamaa inasemekana hatua yake moja ya mguu wa kulia ipo Tabora na nyingine ya mguu wa kushoto ipo Kongo.

Pia inasemekana aliwahi pita maeneo fulani ya Kilwa akakuta watu wanachota maji mtoni akawaomba maji wale watu wakamfukuza ila tangu walipomfukuza yale maji ya ule mto yakawa machungu na yanawasha ila maji yale yale ya ule mto katika kijiji cha pili ni mazuri tu yanafaa kwa matumizi.

Je, vipi na wewe ushawai sikia habari za uyu mtu Unju bin Unuk.
Hatua moja iko Tabota nyingine Congo ,anachukua samaki baharini anakausha akinyoosha mkono unakaribia jua halafu kazikwa kilwa ...kaburi lake lina ukubwa gani vile?
 
Mkuu hii fix sio poa. Yaani hatua moja ipo kilwa ya pili congo. Sasa hapo kilwa aliishije kama kuna unyayo mmoja tu.
 
Pia jamaa inasemekana alikuwa na uwezo wa kutembea kwa kuruka ruka; jamaa inasemekana hata Tanzania alishawai kuwepo alipata kuishi maeneo ya Kilwa Kivinje na kaburi lake ndo Lipo uko.
tukafukue kaburi lake tuitangazie dunia maajabu ya huyo jamaa - si kilwa tu hapo tunashindwa nini kama habari hii ni kweli.
 
1625707690086.png
 
Je Unju Bin Unuk ana connection na Uj Bin Anak?
Zito ukimilki peni ni shida.
 
Habar hi nzito sanaa huyuuu mwamba alikuwepo duniani enzi ya nani nuhu Hutu ndiye alifanikisha kuleta miti ya kujengea safina ya nuhu someniii jaman habar za mtu Huyu ni nyingi sana jamani Huyu alikuwa hana nyumba ta kulala pia alikuwa akikasirika anaenda kilimani alafu anakojoa yaniii huko anapowamwagia mkojo kijiji kinazama sio poa jaman penden kusoma na sio kubisha wakuu
 
Back
Top Bottom