Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'



Mwarabu ambae kwa sasa ameajiriwa na mwanamuziki Diamond na analipwa mshara mnono kwa kazi ya kumlinda ambapo hadi sasa amenunua viwanja kadhaa na ujenzi unaendelea na si nyumba za kitoto huku akiwa na usafari zaidi ya gari tatu ambapo moja boss wake alimnunulia na mbili amenunua kwa mshahara anaomlipa

Sipati picha heaven on desert atakua na magari managapi maana it seems zawadi za Diamond ni magari tuu..
 
Last edited by a moderator:
Msitu au viwanja vya chuo kikuu acha nikalale matangazo yakiisha ntarudi tena
 
Duh naamini ni kweli,, na salute kwake na kwako uwezo huu wa kukusanya data kama hizi,,,,

salute kwenu nyote, Baunsa na Thread owner,
 
Afu Mbona huu sio msitu asee,,

Viwanja vya chuo kikuu (cha taifa) ni msitu tena, haha
 
Duh, haya bwana
mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha

mkuu huyu jamaa ni mbavu nene...yaani ukigusapo hapo lazima unate.

Kama ni kweli saluti kwake
ni kweli mkuu, huyu jamaa ana fanya kitu anacho kipenda maishani mwake.

Hilo kwapa mhhhh???
si ndo mpango mzima au wasemaje mkuu?

Mkwala wa nanasi...nnje miiba mingii, ndani tamu balaa!
wewe jifariji tu , atapo kupitia kama kumba kumba ndo utakuja kushudia hapa.
 
Body guard wapi yule wa dr slaa aliazibiwa na bavicha acha alie kama mtoto
 
Eti kwenye msitu wa chuo kikuu msitu upi? Hapo si uwanjani tufike Muda tuwakatae hawa waandishi wa habari makanjanja Kama huyu

basi tuseme ka kichaka cha chuo kikuu cha DSM....ili ufurahi, ahaaaa....

Blog news
Ahaaaa....na wewe unasoma JF news.

tena sana.

kweli huyo muarabu

mwarabu wa pemba....
ANAMSITU KWAPANI KAMA HUO MSITU WA MAZOEZI
kama msitu wa amazoni....chezea msitu wa mabepwande
 
Siku hz watu hawatumii ngumi, akafanye na mazoezi ya kukwepa ma sniper.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mwee!!!!! ashukuliwe ndomo kwakumpa ajira maana vinginevyo anacharacteristics zote za ujambazi.

umejuaje kuwa anafaa kuwa kaka Jambazi ?

Awachokoze wazee wa kungoa kucha na meno aone anavyofanywa
kwanini hajipendi mpaka awachokoze?
mnakumbuka story ya komandoo aliyetaka kufanya uhaini Jasusi joka kuu mko wapi mutupe utamu maana kuna hadi kitabu nasikia
mwaga ubuyu mkuu... watu tupate udambwi dambwi.

Akinyoa ndevu anapendeza zaidi...........
kweli enhee....kwahiyo anko John umepndi ana madevu kama Osama.

Hongera Komando mandevu....
we...weeee...weee....akikusikia , utajuta kumtaja.
"Nguseee nikuchane-chane na viwembe" Ka Ouwbamaa ktk huyu ni demu wangu ft Mchizi Moxxx
kwahiyo unataka kusema hakuna mkate mgumu mbele ya chai....
 
Last edited by a moderator:
Teheeee teehee nimemkumbuka Arafat Ngumi Jiwe yule baunsa wa Dully alitamba sana sasa si ndo akajichanganya ku-msodoma dogo kwa nguvu acha wana wa kitaa wamdandie nae akaliwa kiboga safiiii na ngumi kadhaa akachezea,sijui kapotelea wapi na wana mikwara hawa.

mwenye picha zake atupatie ,na bwanake dully ilikuwa full kumrusha Arafat ngumi jiwe
 
kwahiyo dimond kakutuma ujeututishe ili akiwa stajin anatuonyesha masuburi yake tusimzomeee??!!!..ilooooo
 
mwenye picha zake atupatie ,na bwanake dully ilikuwa full kumrusha Arafat ngumi jiwe

hqdefault.jpg
 
Back
Top Bottom