Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Mkwara wa Kigirikimandonga alipiga biti nikajua anaenda kuua mtu ndani ya sekunde 30. Kapgwa knockout
Watu wengine walikuwa hawajaingia ukumbuni game over.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkwara wa Kigirikimandonga alipiga biti nikajua anaenda kuua mtu ndani ya sekunde 30. Kapgwa knockout
Watu wengine walikuwa hawajaingia ukumbuni game over.
Watu wa zamani walikuwa magumashi kichizisame tu kikaza
Hata Burundi 🇧🇮 kabla ya ukoloni ilikuwa ni sehemu ya TanganyikaKanyabwoya alikuwa raia wa Tanzania ambaye aliweka makazi yake ktk nchi ya Burundi kwa ajili ya kutafuta maisha.Kwao ni Kibondo na.kaka yake alikuwa mwalimu wa somo la mziki pale Tabora Boys .
🤣🤣Aisee.
Magu ndo nanMagu pia alikua ni kanyaboya
Alikuwa akiitwa pia....Ring barrier Kanyaboya...!
Ohh yeahAlikuwa akiitwa pia....Ring barrier Kanyaboya...!
Daah!!Magu pia alikua ni kanyaboya
Naazimisha za kwangu, una shughuli gani nazo?Sina mbavu
Kumbe ni Brother KKanyabwoya alikuwa raia wa Tanzania ambaye aliweka makazi yake ktk nchi ya Burundi kwa ajili ya kutafuta maisha.Kwao ni Kibondo na.kaka yake alikuwa mwalimu wa somo la mziki pale Tabora Boys .
Jiwe bin KayafaMagu ndo nan
Mkuu mbona mgumu sana kuelewa!?Kwahiyo alipigana na watu wawili?