Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 446
- 982
Utakufa Kwa kung'ang'ania hizi shuhuda zako na mbinguni utapasikia tu!Kwanini unauita upuuzi?
Shuhuda za namna hiyo zipo nyingi. Nafasi wanapewa wengi wenye moyo wa unyenyekevu. Watu wabishi kama wewe sidhani kama wanaweza kupata nafasi ya pili.
Haziwaangamizi. Zinawatahadharisha. Kwani kuzimu haipo? Mbingu haipo? Unaangamiaje kwa kusikia ukweli
Hujasoma kwamba Paulo alinyakuliwa hadi mbingu ya tatu, akasikia maneno yasiyotamkika. Hiyo nayo ni habari ya ujinga? Lazaro alikufa, akafufuka siku ya nne. Unafikiri alivyokufa alienda wapi. Halafu ili ujue kuna ukweli kuhusu ushuhuda huo, huyo ndugu baada ya tukio hilo aliacha maisha ya dhambi akaanza kumtumikia Mungu kwa kuhubiri Injili kamili. Angesema alionyeshwa watu wanakunywa bia mbinguni, nisingehangaika hata kuandika ushuhuda huu hapa.
Uko na shuhuda za akina zumaridi!?
Unawakumbuka waliokufa Kenya kwenye misitu ya shakahola sijui!!
Hivi nyinyi viumbe mpewe Nini ili kutafautisha Iman za dini na utapeli??
Hivi hujui unaweza kujiungamanisha Kwa mungu wako bila hizi shuhuda??
Mungu hukusikia wewe! Na sio wewe kupitia Kwa yule!
Hao akina Paulo na lazaro unaowataja wewe imepita karne ngapi mpaka leo???
Nakuambia tena hakuna hizo nafasi tena kwenye dunia hii yaleo.
Kuwa makini