Mjue Dr. Ian: Daktari aliyekufa, akafufuka, na sasa ni Mwinjilisti wa kimataifa!!

Utakufa Kwa kung'ang'ania hizi shuhuda zako na mbinguni utapasikia tu!

Uko na shuhuda za akina zumaridi!?

Unawakumbuka waliokufa Kenya kwenye misitu ya shakahola sijui!!

Hivi nyinyi viumbe mpewe Nini ili kutafautisha Iman za dini na utapeli??

Hivi hujui unaweza kujiungamanisha Kwa mungu wako bila hizi shuhuda??

Mungu hukusikia wewe! Na sio wewe kupitia Kwa yule!

Hao akina Paulo na lazaro unaowataja wewe imepita karne ngapi mpaka leo???

Nakuambia tena hakuna hizo nafasi tena kwenye dunia hii yaleo.


Kuwa makini
 
Utakufa Kwa kung'ang'ania hizi shuhuda zako na mbinguni utapasikia tu!
Tiketi ninayo tayari, wewe unasema ntapasikia tu.
Uko na shuhuda za akina zumaridi!?

Unawakumbuka waliokufa Kenya kwenye misitu ya shakahola sijui!!
Hao uliwasikia wanahubiri Injili isiyoghoshiwa?
Hivi nyinyi viumbe mpewe Nini ili kutafautisha Iman za dini na utapeli??

Hivi hujui unaweza kujiungamanisha Kwa mungu wako bila hizi shuhuda??
Biblia ni kitabu chenye shuhuda nyingi. Kwanini unastaajabu kusikia ushuhuda hu
Hao akina Paulo na lazaro unaowataja wewe imepita karne ngapi mpaka leo???
Karne kupita nyingi ndo zinabadilisha ukweli?
Nakuambia tena hakuna hizo nafasi tena kwenye dunia hii yaleo.
Hayo ni mawazo yako
 
Sio kuzimia ni michezo ya watu hii!
Michezo? Mungu anatumia watu kutuonya kwamba kuzimu ipo kwa ajili ya watenda dhambi. Badala ya watu kushukuru wametahadharishwa, wanabeza. Ni ajabu sana kizazi hiki cha uovu
 
Biblia ni kitabu chenye shuhuda nyingi. Kwanini unastaajabu kusikia ushuhuda hu
Kwanin Sasa usitumie hizi shuhuda za kwenye biblia? Kuimarisha Imani yako na kusaka safari yako ya mbinguni kupitia hizo??

Uko unapambana na shuhuda za karne ya 21, ambazo watu hutumia kutafutia maisha??
Karne kupita nyingi ndo zinabadilisha ukweli?
Zinakuwa na vingi vya kuigiza, ningum kutofautisha yapi ya mungu na yapi ya shetani.. Kila mtu hukumbilia kwenye shuhuda.
Michezo? Mungu anatumia watu kutuonya kwamba kuzimu ipo kwa ajili ya watenda dhambi. Badala ya watu kushukuru wametahadharishwa, wanabeza. Ni ajabu sana kizazi hiki cha uovu
Sio Kila mtu mungu humtumia, wengine hutumika na shetani.

Wew una ushahidi upi kuwa huyo muhubiri wako alionja kifo akafufuka?

Kipi ambacho umekiona kwake ukasema kweli hiki Huwa na wale waliokufa na huyu anacho?

Fikiria Kwa kina kama sio mshirika wake basi fikiria Kwa upande mwingine
 
Iliwahi kunitokea, ajabu mbinguni nilimuona mtu mmoja tu #Hayati Mwinyi peke yake!... Rais awamu ya pill.
I don't know why?
Nikawa naonyeshwa huyu amefikia ngazi ya ulamah, kwa kweli sifahamu ulamaha inamaana gani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
 
...
 

Attachments

  • images - 2025-04-07T230052.879.jpeg
    11.8 KB · Views: 23
  • images - 2025-03-15T220722.147.jpeg
    39.8 KB · Views: 21
  • images - 2025-03-15T220952.307.jpeg
    10.9 KB · Views: 23
  • images - 2025-03-15T215904.856.jpeg
    12.7 KB · Views: 18
  • images - 2025-03-15T215638.823.jpeg
    21.4 KB · Views: 22
  • images - 2025-03-15T215427.402.jpeg
    35.2 KB · Views: 26
  • images - 2025-03-15T215338.447.jpeg
    16 KB · Views: 23
  • images - 2025-03-15T215323.875.jpeg
    29.9 KB · Views: 24
  • images - 2025-03-15T215317.529.jpeg
    48.9 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…