Mjue jasusi Paul Kagame - Sehemu ya Pili

Che guavara unamfananisha na mpumbavvu mmoja wa rwanda asiejua "utu"
Yeye wspinzani wake wote ni maadui was taifa na yeye ni mzalendo no 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watutsi wanavyomuabudu huyu jamaa bana, utadhani yeye pekee ndiye aliyeyafanya hayo. Mkae mkijua tu huyu jamaa alikuwa kama sanamu tu ila kuna watu nyuma yake ndio waliokuwa wanaifanya hiyo kazi iliyotukuka mpaka leo hii unaiona Rwanda hapo ilipo. Baada ya kupata alichokuwa akikiwaza miaka nenda rudi akaanza kuwashughulikia waliokuwa vichwa ili asipate kipingamizi katika safari yake ya kutawala mpaka Mauti.

Iko siku mtaelewa vizuri juu ya mambo ya huyu bwana
 
Yani hujakosea kwenye historia ya huyu jamaa. Thanks
UONGO mtupu anawalisha Matango pori kwa kuExaggerate Kagame na copy &Paste za Bold
Eti Kagame kaingia Monduli 1980 hapohapo kamtoa Nduli 1979 na Mobutu
Nduli tumemtoa wenyewe bila ya msaada wa mshenzi yeyote au M7 au KG muulize Echolima
Kabila kamtoa Mobutu kupitia hapahapa TZ hajasaidiwa na kima yeyote
Adui anayetishia amani anamuondoa kwanini basi hapatani na M7?
tajiri yeyote arudishwe na pesa zake na naenda mmaliza
kwanini Raia wake wanakimbilia Uganda kwenda kujificha? na bado anawatuma watu wake wa Rwanda waingie Uganda na kuwakamata maadui zake na kuwarudisha Rwanda?
Hata Tanzania wameingia mara ngapi kufanya yao? J Kikwete pekee ndiye aliyekomaa
usipende kuandika Hadithi za Shigongo kwa kuangalia upande mmoja angalia na upande wa pili wa Dikteta huyu
 
Ukweli nusu....na uwongo nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyosoma nimeona kama part 2 ilianza ndo part 1 umemaliza au sijaelewa
 
Kagame alikuwa miongoni mwa wapiganaji walioingia kwenye mpango kabambe wa kumrudisha Obotte madarakani ukiasisiwa na Nyerere mwenyewe na Obotte kwa umakini mkubwa, na Museveni kupewa jukumu la utekelezaji. Kwa hiyo kagame alishiriki tu kwenye mpango huu na baada ya vita Rwigema akatumia njia hiyo hiyo kutaka kuipindua serikali ya Juve Habyarimana. David Oyite Ojok "Abiria ya jicho moja" alikuwa rafiki yangu wa karibu tukiwa shule moja ambayo sitaitaja leo, tukiishi cubicle moja ya house three na mipango yao yote alikuwa akinisimulia. Mungu amrehemu.
 
HUU UONGO WA MCHANA ETI RWANDA HAKUNA MAKAZI HOLELA NA HAKUNA SHIDA YA UMEME WALA MAJI, ANZIA RUSUMO, NYAKARAMBI, KIREHE , KAYONZA MAKAZI NI UCHAFU MTUPU, MAJI HAKUNA, UMEME SHIDA N.K WAKAZI WAKE WANATAMANI WAWE WAKIMBIZI UPANDE WA TANZANIA
 
RWANDA WAKO MIKONONI MWETU TISS TUNAWAONA NA TUNAWAANGALIA KWA MAKINI PIA KUMBUKA RWANDA WENGI WANAPENDA PEA SANA KWA HIYO VIONGOZI WAO WENGI WA JESHI WAKO CHINI YA TISS
Sasa mbona huyu kagame alikuwa akimbeep kikwete au ilikuwa geresha tu?
Nalog off
 
Huyu jamaa ametokea kuwa kipenzi cha WaAfrika wengi hivi karibun sasa nimeanza kuelewa kwa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…