Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Ma- Rais,Kagame wakati anaisadia Tanzania kumuondoa Idd Amin1979 pia wakati ana msaidia Museveni kuwa Rais 1986 hakufikisha hata miaka 30. Alifanya haya yote ili awe nguli kwenye medani ya vita ili wakati ukifika aikomboe Rwanda dhidi ya Majeshi ya serikali Alikubali maisha yake yote yapotee afe ila Nchi yake iwe salama. Hili ni funzo la kweli kwetu vijana.
Kagame,
Mseven,
Loraa Kabila, Mkubwa na Mdogo,
Milton Obote, nk
Walianza kupigana wakiwa msituni hivo kuchukuliwa km viongozi wa makundi ya Magaidi, wakipinga serikali halali za nchi zao! zilizo ongozwa na wa-Africa wenyewe, na karibu wote walifanikiwa kwa kiwango kikubwa! kutwaa Madaraka waliyo kusudiwa!
Hawa wote walipata mafunzo Tanzania, Tangu shule za kawaida, JKT, mpaka mafunzo ya kijeshi huko Tanzani Millitary Academy (TMA) pale Monduli - Officer Cadet, wajeda wengi wamepita hapo mfano Wa Kenya, Lesotho,S/Africa, seychelles nk,
Mauaji ya Rwanda/Burundi yana Mkono wa Tanzania kwa sehemu yote, Vita ya Congo isingekuwa km ilivo kuwa bila Tanzania kulea Mgaidi wenye weredi, na imeshiriki kulea Magaidi kwa muda mrefu! tumeishi nao humu! tumesoma nao! Mfano Kabila aliishi Kipawa anakula vihepe! Lkn imefumbiwa macho na NATO! kwa nini?
Leo tuko salama usalimini, twacheza, twalima, twauza!!! kwanini? na huko nyuma tuna History ya kuwaharibia ndg zetu amani?
Jirani zetu Hawali, hawanywi kwa raha! wanakufa, na hatuwasaidiii, kwa nini? Dunia inatuonaje? Who provides save heaven! Logistics support, Allowance! Shelter, Medical services, communications for all of those? mfano;
Kenya na Al-Shaabab,
Uganda-na Joseph Konyi- Kapotea, amepotelea wapi pasipo julikana km siyo humu?
Rwanda -Loraa Nkunda, nani anajua alipo!? anaishi uzuri kimyaaa! Salasala- njia panda pale kilima Hewa/ Kinzudi! hutakaa umjue!
Burundi-Intarahamwe, -TISS- walipenya ndani ya nchi wakamrudisha madarakani Nkurunzinza.
Somalia- hawalimi, hawafugi, hawauzi, hawa nunui ajili ya Al shaabab nk,
Tanzania ni kituo kikubwa cha kulea Magaidi Africa, sasa dhambi ya ugaidi inawatafuna wenyewe, imeanza kwa kina Lissu iko siku isiyokuwa na tarehe, mtaja tafunwa wooote!! ajili ya chuki na chuki za viongozi wenu, mnanyooshea dole USA, MOSSAD lkn na nyie mmejifumbia macho!!!