Mjue Jean Bokassa aliyekula nyama za watu

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
JEAN BEDEL BOKASSA,alizaliwa Feburuari 20 mwaka 1921 huko Afrika ya Kati,Central African Republic(CAR).

Ni mmoja wa madikteta wabaya Barani Afrika, ambaye alipinduliwa Septemba 20 mwaka 1979 na David Dacko. Mwaka 1979 ulikuwa mwaka wa mapinduzi dhidi ya Madikteta,akina Amin Dada wa Uganda, Marcius Nguema na huyu Bokassa.

Baada ya kupinduliwa alikimbilia uhamishoni kwa rafiki zake Ufaransa, baadaye akarudi nchini na kukamatwa kasha kushitakiwa kwa makosa ya uhaini na ulaji wa nyama za watu-cannibalism.

Alifungwa kifungo cha maisha,kisha akaachwa huru. Mtu huyu alifariki dunia Novemba mwaka 1996. Alianza kama Sajenti wa jeshi la kikoloni; na aliingia madarakani kama walivyofanya madikteta wenzake, akina Amin,Nguema n.k

Ilikuwa Januari mwaka 1966 mtu huyu alipoingia mamlakani, akajitangaza kwamba sasa ni ‘Rais wa Maisha’ mithili ya mtu aliyemhusudu sana, Emperor Napoleon Bonaparte.

Mwaka 1977 alitawazwa kuwa ‘Emperor’ kwa sherehe iliyogharimu Pauni za Kiingereza milioni 10,ni kama shilingi za Tanzania Bilioni 25 hivi sasa.Ni kama Dola za Marekani milioni 20 hivi; hadi nchi ikafilisika kabisa!

Fedha hizo zilihusika gharama za kiti cha enzi na taji ya dhahabu iliyonakshiwa kwa almasi.Kama alivyokuwa Idi Amin Dada wa Uganda, Bokassa alipenda sifa, hadi akajibandika nishani nyingi, akajiita yeye ndiye Mhandisi wa kwanza nchini humo, akajiita ndiye mwanandinga nguli kuliko wote katika nchi-The First Footballer.

Amin Dada yeye alijivika vyeo na nishani nyingi, Mshindi wa Dola ya Kiingereza, ‘Victoria Cross’ Mfalme wa Mwisho wa Uskochi n.k tutakujulisha habari zake katika mfululizo huu wa madikteta.

Mmoja wa wakeze alikuwa na kiwanda cha kutengeneza nguo,na maduka yake yakawa yanauza nguo hizi.

Ilitungwa sheria kupiga mtu mwingine yeyote kuuza sare za shule,isipokuwa huyo mama peje yake. Basi, wanafunzi wa shule wakaandamana kupinga kuuziwa sare za shule kwa bei ghali na duka hilo, wakapigwa risasi wanafunzi 100 hivi!

Baadaye, alikamatwa na kushitakiwa kwa makosa ya uhaini na mauaji ya watoto hawa 100; lakini akaja kuachwa huru.Alishitakiwa pia kula nyama za watu. Tumeona pia Teodoro Nguema akila korodani za wapinzani wake, na Amin alisemwa alikula maini na moyo wa adui zake!

Wafaransa ndiyo waliomsaidia Bokassa kuingia madarakani,na alipopinduliwa na David Dacko alitimkia Ufaransa huko huko hiyo Septemba 20 mwaka 1979, mwaka 1981 kukatokea mapinduzi mengine safari hii chini ya Jen. Andre Kilingba.

Hii nchi ilipata uhuru mwaka 1960, Agosti 13.Hii ni nchi ya almasi,uranium,pamba,kahawa na tumbaku na mataifa kama Wafaransa na Wachina wanainyatia.

Ni nchi ndogo ya watu kama milioni 5 tu wanaoongea Kifaransa, Sangho,Kiarabu,Hunsa na Kiswahili.Nchi ina ukubwa wa maili za mraba 240,200 jirani na Congo(DRC),Sudan upande wa MASHARIKI,Chad na Cameron upande wa Magharibi.

Huyu ndiye Jean Bedel Bokassa, aliyekula nyama za watu huku akijisifia kwa kila sifa.

download%20(1).jpeg
images%20(10).jpeg
download.jpeg
 
Uyo Teodoro aliekula korodani za watu alikua anafikiria nini?
 
Duh mtu unatumia paundi 10M mwaka 1977!!!!! Unaiachaje nchi yako sasa...
 
Na Idd Amin tuliambiwa alikula nyama za watu.

Labda ilikua ni fasheni za watawala enzi hizo.
 
View attachment 1284377View attachment 1284378View attachment 1284379
Hivi kwanini huwa hatuelimiki watanzania. Hizi story zote ni za kutunga juu ya hawa madikteta kuanzia Idd Amini, Bokassa na wengine wengi tu. Lengo la hizi story zilikiwa kuwafanya wananchi kujenga chuki zidi ya mambo ya udikteta na ishu zote zinazotokana na madikteta. Ishu iko hivi katika zama za vita baridi wengi wa madikteta walikuwa ni pro capitalism hivyo upande wa block ya socialism wakatengeneza propaganda mbalimbali kupinga maswala yote yanayotakana na madikteta hasa wale waliokuwa wanashabikia mrengo wa kimangaribi. Ikiwemo hii propaganda ya kula nyama za watu. Kiukwel iliweza kusaidia kujenga hofu sana kwa wananchi ukizingatia kuwa nyanja za mawasiliano hazikuwa ziko katika hali kama zama zetu hizi. Ukwel ndio huu hizi zote ni story za cold war ambazo kwa sasa inabidi tufanye tafiti nyingi sana kuwa bayana isiyoshaka juu ya haya yaliovuma nyakati za vita baridi kuendelea kusimuliwa zama izi za information age.
 
Unaweza kuthibitisha mkuu kwamba hawa jamaa hawakula nyama za watu?
 
Madikteta wapo, na bahati mbaya wanatumia na kuegemea kitu kinachoitwa uzalendo kuwafumba wananchi. Mifano ni madikteta wa enzi hizi akina Maduro, Kagame, M7 nk, wanatumia zaidi uzalendo kupumbaza wananchi.

Kula nyama za watu ni mambo yanayohitaji uthibitisho zaidi. Lakini wengine huyafanya kuonyesha ubabe dhidi ya jamii inayowazunguka.
 
Hakuna cha cannibals bali waliovumisha huu uvumi ni wazungu ili kuwafanya wananchi (waafrika) wazidi kuwachukia zaidi
Uvumi wa ulaji wa watu umekuja baada ya kuondoka madarakani na waliomdika Haya sio weusi bali weupe
Wameuwa kama madikteta wengine waliopo madarakani, na wengine kujilimbikizia $s
 
Hivi kwanini huwa hatuelimiki watanzania. Hizi story zote ni za kutunga juu ya hawa madikteta kuanzia Idd Amini, Bokassa na wengine wengi tu. Lengo la hizi story zilikiwa kuwafanya wananchi kujenga chuki zidi ya mambo ya udikteta na ishu zote zinazotokana na madikteta. Ishu iko hivi katika zama za vita baridi wengi wa madikteta walikuwa ni pro capitalism hivyo upande wa block ya socialism wakatengeneza propaganda mbalimbali kupinga maswala yote yanayotakana na madikteta hasa wale waliokuwa wanashabikia mrengo wa kimangaribi. Ikiwemo hii propaganda ya kula nyama za watu. Kiukwel iliweza kusaidia kujenga hofu sana kwa wananchi ukizingatia kuwa nyanja za mawasiliano hazikuwa ziko katika hali kama zama zetu hizi. Ukwel ndio huu hizi zote ni story za cold war ambazo kwa sasa inabidi tufanye tafiti nyingi sana kuwa bayana isiyoshaka juu ya haya yaliovuma nyakati za vita baridi kuendelea kusimuliwa zama izi za information age.

Asante kwa uelewa huo
Eti cannibalism wakati weusi wenye ushahidi huo hakuna hata watu wao wa karibu hakuna waliohakikisha zaidi ya makaburu kuandika hayo
 
JEAN BEDEL BOKASSA,alizaliwa Feburuari 20 mwaka 1921 huko Afrika ya Kati,Central African Republic(CAR).

Ni mmoja wa madikteta wabaya Barani Afrika, ambaye alipinduliwa Septemba 20 mwaka 1979 na David Dacko. Mwaka 1979 ulikuwa mwaka wa mapinduzi dhidi ya Madikteta,akina Amin Dada wa Uganda, Marcius Nguema na huyu Bokassa.

Baada ya kupinduliwa alikimbilia uhamishoni kwa rafiki zake Ufaransa, baadaye akarudi nchini na kukamatwa kasha kushitakiwa kwa makosa ya uhaini na ulaji wa nyama za watu-cannibalism.

Alifungwa kifungo cha maisha,kisha akaachwa huru. Mtu huyu alifariki dunia Novemba mwaka 1996. Alianza kama Sajenti wa jeshi la kikoloni; na aliingia madarakani kama walivyofanya madikteta wenzake, akina Amin,Nguema n.k

Ilikuwa Januari mwaka 1966 mtu huyu alipoingia mamlakani, akajitangaza kwamba sasa ni ‘Rais wa Maisha’ mithili ya mtu aliyemhusudu sana, Emperor Napoleon Bonaparte.

Mwaka 1977 alitawazwa kuwa ‘Emperor’ kwa sherehe iliyogharimu Pauni za Kiingereza milioni 10,ni kama shilingi za Tanzania Bilioni 25 hivi sasa.Ni kama Dola za Marekani milioni 20 hivi; hadi nchi ikafilisika kabisa!

Fedha hizo zilihusika gharama za kiti cha enzi na taji ya dhahabu iliyonakshiwa kwa almasi.Kama alivyokuwa Idi Amin Dada wa Uganda, Bokassa alipenda sifa, hadi akajibandika nishani nyingi, akajiita yeye ndiye Mhandisi wa kwanza nchini humo, akajiita ndiye mwanandinga nguli kuliko wote katika nchi-The First Footballer.

Amin Dada yeye alijivika vyeo na nishani nyingi, Mshindi wa Dola ya Kiingereza, ‘Victoria Cross’ Mfalme wa Mwisho wa Uskochi n.k tutakujulisha habari zake katika mfululizo huu wa madikteta.

Mmoja wa wakeze alikuwa na kiwanda cha kutengeneza nguo,na maduka yake yakawa yanauza nguo hizi.

Ilitungwa sheria kupiga mtu mwingine yeyote kuuza sare za shule,isipokuwa huyo mama peje yake. Basi, wanafunzi wa shule wakaandamana kupinga kuuziwa sare za shule kwa bei ghali na duka hilo, wakapigwa risasi wanafunzi 100 hivi!

Baadaye, alikamatwa na kushitakiwa kwa makosa ya uhaini na mauaji ya watoto hawa 100; lakini akaja kuachwa huru.Alishitakiwa pia kula nyama za watu. Tumeona pia Teodoro Nguema akila korodani za wapinzani wake, na Amin alisemwa alikula maini na moyo wa adui zake!

Wafaransa ndiyo waliomsaidia Bokassa kuingia madarakani,na alipopinduliwa na David Dacko alitimkia Ufaransa huko huko hiyo Septemba 20 mwaka 1979, mwaka 1981 kukatokea mapinduzi mengine safari hii chini ya Jen. Andre Kilingba.

Hii nchi ilipata uhuru mwaka 1960, Agosti 13.Hii ni nchi ya almasi,uranium,pamba,kahawa na tumbaku na mataifa kama Wafaransa na Wachina wanainyatia.

Ni nchi ndogo ya watu kama milioni 5 tu wanaoongea Kifaransa, Sangho,Kiarabu,Hunsa na Kiswahili.Nchi ina ukubwa wa maili za mraba 240,200 jirani na Congo(DRC),Sudan upande wa MASHARIKI,Chad na Cameron upande wa Magharibi.

Huyu ndiye Jean Bedel Bokassa, aliyekula nyama za watu huku akijisifia kwa kila sifa.

View attachment 1284377View attachment 1284378View attachment 1284379
Kuchwa Cha uzi na content haviko karibu

Kwa sababu kwenye kichwa Cha uzi kunaonekana mtu aliyekua anakula nyama za watu lakini content inazungumzia mambo mengine mengi na issue ya kula nyama za watu hakuna hata maandishi ya kutosha kutoa evidence au mifano zaidi tu alikua anakula nyama za watu
 
Hivi kwanini huwa hatuelimiki watanzania. Hizi story zote ni za kutunga juu ya hawa madikteta kuanzia Idd Amini, Bokassa na wengine wengi tu. Lengo la hizi story zilikiwa kuwafanya wananchi kujenga chuki zidi ya mambo ya udikteta na ishu zote zinazotokana na madikteta. Ishu iko hivi katika zama za vita baridi wengi wa madikteta walikuwa ni pro capitalism hivyo upande wa block ya socialism wakatengeneza propaganda mbalimbali kupinga maswala yote yanayotakana na madikteta hasa wale waliokuwa wanashabikia mrengo wa kimangaribi. Ikiwemo hii propaganda ya kula nyama za watu. Kiukwel iliweza kusaidia kujenga hofu sana kwa wananchi ukizingatia kuwa nyanja za mawasiliano hazikuwa ziko katika hali kama zama zetu hizi. Ukwel ndio huu hizi zote ni story za cold war ambazo kwa sasa inabidi tufanye tafiti nyingi sana kuwa bayana isiyoshaka juu ya haya yaliovuma nyakati za vita baridi kuendelea kusimuliwa zama izi za information age.
Asili ya udikteta Africa uliletwa na ujamaa,huwezitofautisha ujamaa na udikteta sasa hizo story za kutunga zinatoka wapi.Kumbuka madikteta wote lzm wawe washirikina watashindwa vipi kula nyama za watu hali akili zao huwa wamewakabidhi waganga ndio uwadrive
 
Hivi kwanini huwa hatuelimiki watanzania. Hizi story zote ni za kutunga juu ya hawa madikteta kuanzia Idd Amini, Bokassa na wengine wengi tu. Lengo la hizi story zilikiwa kuwafanya wananchi kujenga chuki zidi ya mambo ya udikteta na ishu zote zinazotokana na madikteta. Ishu iko hivi katika zama za vita baridi wengi wa madikteta walikuwa ni pro capitalism hivyo upande wa block ya socialism wakatengeneza propaganda mbalimbali kupinga maswala yote yanayotakana na madikteta hasa wale waliokuwa wanashabikia mrengo wa kimangaribi. Ikiwemo hii propaganda ya kula nyama za watu. Kiukwel iliweza kusaidia kujenga hofu sana kwa wananchi ukizingatia kuwa nyanja za mawasiliano hazikuwa ziko katika hali kama zama zetu hizi. Ukwel ndio huu hizi zote ni story za cold war ambazo kwa sasa inabidi tufanye tafiti nyingi sana kuwa bayana isiyoshaka juu ya haya yaliovuma nyakati za vita baridi kuendelea kusimuliwa zama izi za information age.
mkuu mwalimu wangu wa historia alinambia hvohvo mkuu.
 
Back
Top Bottom