Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Siku zote akili ako haikuagi ase dah, embu tuendeleeMbona hata mi naweza! Yani limjusi linatembea linagusa mawe huko chini mnasema linatembea juu ya maji
Hagusi mawe hata kidogo.Mbona hata mi naweza! Yani limjusi linatembea linagusa mawe huko chini mnasema linatembea juu ya maji
Mh, Atare sanaThe Jesus lizard
Mbona ana mimacho kama ya yule wa diplomasia na ushikiano wa nje