Mjue Joe Rwamirama, binadamu pekee kutoka Kampala Uganda ambaye ushuzi wake unaua mbu

Huyo ni hatari kwa binaadam kuwa karibu yake anapojamba.

Ni kama dawa za mbu zozote za kupuliza, unaambiwa ukiipuliza utoke haraka sana inaweza kukuletea madhara.

Dah! Huyo achunguzwe anakunywa nini siyo anakula nini tu.
Dawa za mbu za kupuliza ni hatari haswa. Zinabomoa mfumo wa fahamu wa mbu, ila hata binadamu ukiziingilia zinakubomoa pia.

Niliwahi kupuliza dawa ya mbu na kubaki ndani ya chumba, nikashangaa baada ya dakika kadhaa siwezi kuzuia mkojo, yaani ukijaa kwenye kibofu unatoka wenyewe.

Nilipagawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole SANA
 
Back
Top Bottom