Mjue Jonathan Lee Riches, mtu aliyeanzisha mashtaka mengi duniani na kujipatia mamilioni

Jamaa pia alienda kumshitaki demu wake, alipoomba unyumba akaambiwa nipo period.
Mkuu nakutafuta muda mrefu kwenye huu uzi hapa,hebu ingia utoe neno
 
Hio kesi ya mwisho hio, yani hao jamaa hawakufikiria kuwa wanaweza kushitakiwa.
Akijua mmerusha picha yake humu atawashitaki.
 
Angekuwa Mtz no doubt angekuwa msambaa,Maana akina tate nane Kwa kupenda kesi sio poa.
 
Hawa ndio wazee wa mission town, achana na wavuta bangi wa bongo wanaojiita watoto wa mjini.
 
Ukimsainisha mkataba tu, kabla hujamuandika unaitwa mahkmni
 
Huyo mwisho wake ataishtaki na mahakama yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…