Naam kama ilivyo ada Leo kichenza nimeamua kujianika na kujieleza kwa undani mimi ni nani kwa wasio nifahamu..
Jina halisi naitwa kichenza kichenzule
Ni muhitimu wa Harvard university nimesomea material science and engineering (ehe unashangaa usinishangae mimi kamshangae aliyekwambia usome HKL)
ukiacha waliooa na walioolewa kichenza ndiye kijana anayevaa na kula vizuri jamii forum nzima (usibishane na Mimi nenda kabishane na ela zangu)
Kichenza sijaoa
Kichenza napenda mziki lakini maisha yangu yote siwezi kusikiliza singeli bora nipigwe shaba nife
Napenda kuogelea lakini siwezi kuogelea kitumbo wazi
Kichenza siwezi kunyoa kipara (kunyoa kipara nikuonyesha kwamba elimu uliyonayo haijakukomboa)
Kichenza napenda watoto (wale wanaolia ng'aaaa ng'aaa. na sio hao watoto ambao unawafikiria wewe)
Kichenza kuhusu swala la viatu napenda kuvaa nike sometimes adidas sipendi kujiabisha maana muda mwengine unaweza muona mtu kavaa likiatu kama mamba ukimuuliza et oooh kiatu hichi mkataba kinadumu... yani likiatu utafikiri kifaru cha jeshi
Nawazazi pia tuwanunulie watoto viatu vizuri sio unamnunulia mtoto kiatu utafikiri kimepigwa na radi..