Mjue kiongozi mkubwa anaempa kiburi Haji Manara

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Haji manara wengi wanamfahamu kama el bugati wiki hii amekuwa gumzo kutokana na kudindishiana kifua na TFF.

Sasa za ndaaaaaani Haji Manara hii jeuri anapewa kiburi ni kiongozi mkubwa aliewahi kupita madarakani na kwa sababu tukubari Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF na ndio maana jeuri anayopewa anafanya chochote anachotaka

#natabiri#
Manara anashinda kesi soon na TFF itakaa kimya

 
Mtoa uzi huu ni uongo, na uongo ni tabia chafu mno bora uwe mchawi,taja Jina la huyo kiongozi na weka facts hapa za kumhusisha na Mr.Manaragate
 
Kila mtu anakuja na theory yake ya kutunga. Kuna watu walikua na kiburi kama kina bashite leo wakowapi? Tena huyo manara angetulia awe mstaarabu maana akiwa hana hela ngozi yake itatisha.
 
Kwahiyo huyio kiongozi alihama na Manara kutokea Simba? Maana Manara alikuwa msema hovyo tokea akiwa Simba
 
Sasa alikuwa anaomba radhi ya nini kabla ya hukumu? Hajji mjanja mjanja tu anatafuta public sympathy........ siamini kama mtu mwenye akili timamu anaweza kuwa anamback up Haji Kwa huu upuuzi anaoongea kwenye Public,Yanga tumeletewa kichaa,HERSI hii dhambi itamsumbua baadaye
 
Mzee wa kukenua kenua ana akili atamtosa sope wala hataamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…