cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2304183
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2304183
Kaka kumbe umeshamjua huyo kiongozi kjMzee wa kukenua kenua ana akili atamtosa sope wala hataamini
Anaanisha JKHAJI MANARA MKUBWA KULIKO TFF HOW? HUYO KIONGOZI NI NANI? MBONA HUMTAJI
Ndio kwanza mwaka wake wa kwanza kati ya ile mifour tangu achaguliwe tenaKaria atulie tu.... hivi uchaguzi lini vile?
Inavosepa ushahidi ipo siku dmu atagongwa halafu utataka ushahidiokay
ushahidi uko wapi
🚮Inavosepa ushahidi ipo siku dmu atagongwa halafu utataka ushahidi
Haji manara wengi wanamfahamu kama el bugati wiki hii amekuwa gumzo kutokana na kudindishiana kifua na TFF.
Sasa za ndaaaaaani Haji Manara hii jeuri anapewa kiburi ni kiongozi mkubwa aliewahi kupita madarakani na kwa sababu tukubari Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF na ndio maana jeuri anayopewa anafanya chochote anachotaka
#natabiri#
Manara anashinda kesi soon na TFF itakaa kimya
View attachment 2303900