Mjue kiongozi mkubwa anaempa kiburi Haji Manara

Mjue kiongozi mkubwa anaempa kiburi Haji Manara

Haji manara wengi wanamfahamu kama el bugati wiki hii amekuwa gumzo kutokana na kudindishiana kifua na TFF.

Sasa za ndaaaaaani Haji Manara hii jeuri anapewa kiburi ni kiongozi mkubwa aliewahi kupita madarakani na kwa sababu tukubari Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF na ndio maana jeuri anayopewa anafanya chochote anachotaka

#natabiri#
Manara anashinda kesi soon na TFF itakaa kimya

View attachment 2303900

Naunga Mkono Hoja 100%
Hakuna anaemuweza Haji!
Atashinda hii kitu na ataendelea na usemaji
Hili sina wasiwasi nalo kabisa!
Cc: GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom