Mjue kwa undani msemaji wa wananchi

Baba Kisarii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
1,844
Reaction score
3,089
Jina lake : Ally Shaban Kamwe

Nafasi : Kitengo Afisa habari Yanga

Mkoa aliozaliwa : Kilimanjaro

Kabila : Mpare

Umrefu : 5.1

Urefu wa ume wake : 4.7

Uzito : 59kg

Kabila la Mama : Mchanga

Kabila la Baba : Mpare

Mama anashabikia : Yanga

Baba anashabikia : Simba

Amekulia : Dar es salaam - Gongo la mboto

Elimu ya ziada : Amesomea kozi ya Sport Academy sponsored by CAF leseni C

Kazi : Amewahi kuwa Mwalimu wa mpira (msaidizi) mfano : KMC, kazi magazetini, uwandishi wa habari za michezo, uingizaji,

Makazi yake kwa sasa system inasoma anakaa : E/W 26° Sinza road ya E/W62° -E/S17°

Namba zake za simu : 07******8
06******5 (Private data)

Mshahara anaopokea kwa sasa :
(2********millions shillings)

Ugonjwa unaoweza kuwa hatari zaidi kwake : Shida ya kifua (Jamii ya pumu ya mbali bado haijakoma)

Ushauri :
Aweke taratibu wa kutumia juice ya tangawizi na limao glass 1 kila siku _ hii itasaidia sana.

Hitimisho:
Alie andika hii alaaniwe ,
Nimeisoma kwenye social media, nikaona ni share nanyi mshangao na kicheko changu.

YANGA BINGWA.
 
Anapoteza stability ya kisaikolojia akiwa katika difficult environment, angalia mechi ambazo Yanga anashindwa, huwa anakuwa na hali ya wasiwasi na anakosa balance kisaikolojia. Anahitaji matanuru zaidi ya moto mkali ili awe imara. Namungo watamuongezea jingine.
 
Atakua ameshakufirimba mtoa mada mbona hadi urefu wa nanii umeujua kumbe kati unafirimbwa ulibahatika na kupima na urefu
 
Kila anapozimiaga Wataalam huchukua vipimo vyote, unaweza kwenda agakhan utakuta file lake hapo
Atakua ameshakufirimba mtoa mada mbona hadi urefu wa nanii umeujua kumbe kati unafirimbwa ulibahatika na kupima na urefu
 
Kumbe Kila akizimia wataalamu huchukua hadi kipimo cha mkia wa mbele.

Duh! Kuzimia ni kubaya jamani kuna siku mtu anaweza Kuzimia akapimwa upana wa mlango wa nyuma.
 
Kwamba ashakufeerah mkuu??
Hurembua macho na kuzimia zimia akija kupata fahamu vipimo vinakuwa vimechukuliwa na kuwekwa katika file..

Bila shaka madakitari weshamfeerah sana dogo akiwa kazimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…