Mjue Leonel Ateba

Joined
Nov 6, 2016
Posts
77
Reaction score
271
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO

Leonel Ateba mshambuliaji wa Simba Sports Club mwenye jezi namba 13, amezaliwa tar 6 Feb 1999 ( 25 ) Cameroon Douala, ambae ametokea USM Alger, iliyopo Algeria ana urefu wa sentimita 183. pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon

Leonel Ateba akekuja kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya Simba akichukua nafasi ya Fred Kobran,


SIFA ZINAZOFANYA LEONEL ATEBA AWE NYOTE WA TANZANIA.

1. Amecheza mechi moja na kuweza kufunga goli.

2. Upungufu wa safu ya ushambuliaji ya Simba unampa Ateba nafasi ya kutoa matumaini kwa mashabiki wa Simba

Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO


Pia soma:Ateba ni Mnyama, Asaini miwili msimbazi
 
Aliunganisha vizuri sana lile goli akiwafunga Al Hilal, there is real bright future ahead of this guy.! Muda utaongea
 
Ungetukumbusha pia kwamba alipokuwa USM Alger msimu mzima alifunga goli moja kama pacha wake Kibu.
 
Bado mapema sana kumwagia misifa,msije kumgeuka na kuwasingizia yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…