Mjue LINA MADINA mzazi mdogo kabisa kwenye historia ya dunia. Alijifungua akiwa na miaka mitano na miezi saba

Mjue LINA MADINA mzazi mdogo kabisa kwenye historia ya dunia. Alijifungua akiwa na miaka mitano na miezi saba

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
277741661_964500301104807_7380008105976984198_n.jpg





Lina Medina mtoto wa miaka mitano (5)....wa Ticrapo nchini Peru mwaka 1939 alizaa mtoto wa kiume na akaitwa Gerardo.Wazazi wake walidhani ana uvimbe tumboni alipopelekwa hospitali kupimwa akakutwa na ujauzito wa miezi saba.
Lina alikuwa mtoto wa kawaida kama watoto wengine tu lakini kwa mujibu wa baba yake alishaanza kupata periods zake mapema.Jina la mtoto wake Gerardo lilitokana na jina la daktari aliyemuhudumia.


Ishu ya Lina iliwasumbua sana madaktari imewezekanaje yeye kupata mtoto?baba wa mtoto?alibakwa?

Baba wa Lina alifunguliwa mashtaka ya kuhusishwa kumbaka lakini alikuja kuachiwa baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha.Lina mwenyewe hakuwahi kusema alipataje huo ujauzito.Baba wa mtoto wa Lina hakuwahi kujulikana na hata namna ambavyo mtoto huyo wa miaka mitano alivyoweza kupata ujauzito.

Kwa sababu ni jambo lisilo la kawaida madaktari walijaribu kufanya tafiti za kila aina.Baada ya research iligundulika Lina alikuwa na tatizo la hormone disorder na madaktari walitaka akae hospital kwa uchunguzi zaidi wa kisayansi lakini familia yake ilikataa.

Wakamchukua mtoto wao na kumlea yeye na mtoto wake pamoja na mdogo wake.Mtoto wa Lina alilelewa kama mdogo wake na hata akikuwa alijua Lina ni dada yake mpaka alipotimiza miaka 10 ndio alijua kuwa ni mama yake.

Pichani lina akiwa na mwanae

Kwenye maisha yake ya usichana alifanya kazi ya usecretary kwenye Lima clinic.Hii ni clinic ya Dr. Lozada aliyejitolea kumsomesha yeye na pia kumsommesha mtoto wake high school.

Alikuja kuolewa na kupata mtoto wake mwingine mwaka 1972 akiwa na miaka 39.Mwaka 2002 waandishi wengi wa habari walimfata kwa mahojiano wakiwemo Reuters lakini aliwatolea nje kuongelea chochote kuhusu maisha yake.

Mwaka 1979 mtoto wa Lina Gerardo alifariki dunia akiwa na miaka 40 kwa matatizo ya bone marrow.

Na inasemekana Lina Medina bado yu hai
 
mesoma story iloandikwa jana jioni ina comments zaidi ya 400, nkawa najiuliza mengii
sasa kwa hili tena la mtoto 5yrs kupata mimbaa, ....inafikirisha... mbegu za kiume alizipataje? huo usiri alokuwa nao miaka mitano akikuwa si ndo atakuwa mtata?
 
Amepata wapi akili za kumficha huyo aliyemtia mimba.?
Miaka 5 mbona maziwa chuchu saa 6 hvy.?
 
Walikosa tu ushahidi lakin baba ake ndo alimtia mimba huyo mtoto
 
Hivi unafanya mchezo mtoto wa miaka mitano kuingiliwa na mtu mzima,.
Baba anasema kuwa alianza kumuona mtoto wake anapata period katika umri huo,inawezekana baada ya kugundua hilo akaanza kumtumia

mtoto mdogo wa umri huo kwenye nchi hzo kuingiliwa na mtu mwingine wa nje ni ngumu sana na kama angeingiliwa na mtu wa nje angemsema.

Via vya uzazi vya kike ni kama lastic,vikiingiziwa kitu kila wakati vinatanuka hata kama mtoto atakuwa mdogo kuna namna ambavyo unaweza kumuingilia kila mara taratibu taratibu na baadae huzoea
 
Back
Top Bottom