Mjue Marehemu Stella Obasanjo

Mjue Marehemu Stella Obasanjo

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,740
Reaction score
1,005
Makosa ya kimatibabu yaligharimu uhai wake

Mwaka 2005 Stella Obasanjo mke obasanjo (aliyekuwa rais wa nigeria) akiwa anakaribia kusherekea birthday yake ya kutimiza miaka 60.. aliamua kusafiri hadi Malaga, Spain kwenda kufanyiwa operesheni ya mabilioni ya kuvuta mafuta chini ya tumbo (liposuction) kupunguza kitambi/kitambi ili aonekane mrembo/kipotabo /bintibinti siku ya birthday yake kutimiza 60yrs

Alionana na Dr M.A na ama kawaida alikuwa admitted, Daktari huyu alikuwa bingwa aliyesifika kwa cosmetic surgery ulaya yote na hii ilikuwa operesheni yake ya 135..

bahati mbaya wakati anafanya kile kifaa cha kuvutia mafuta kiliingia deep kikatoboa ini... baada ya op Dr akakabidhi kwa manesi

Damu zinaendelea kutoka ndani kwa ndani.. manesi wanapima BP haipandi inazidi kushuka mara ainingia kwenye shock (si kawaida maana huwa ni operesheni ndogo tu)

Wanampigia simu Daktari... daktari akawaeleza hana shida huyo atakaa vizuri, mara nyingine hakupokea simu za wauguzi

Mama Stella Obasanjo akakata moto... ilikuwa ni mshituko kwa taifa la Nigeria..maana hata hivyo aliondoka nchini kimya kimya na hakuwa anaumwa.. ni msiba uliotikisa dunia.. na ni mfano mzuri wa medical misconduct iitwayo NEGLIGENCY /KUPUUZA/KUPUUZIA

Daktari bingwa yule alifungwa jela mwaka 1, akafungiwa kutibu miaka mitatu na faini ya EURO £ 120,000 Sawa na 300,000,000 kwa pesa za madafu za kitanzania
download.jpeg
 
Halmashauri ya Kisiju sijui nn huko
 
Wananchi wa Nigeria wanateseka kwa umaskini wajinga wengine wanatumia Kodi za walalahoikwenda kujirembesha. Ujinga huuhauwezikumuacha mtu salama.

Sawa na kuvunja nyumba za watu wasio na hatia na kuchukua Kodi zao kwenda kujenga uwanja wa ng'ombe kuotea jua Kijiji I kwenu.
Why do Africans lack priorities?

Most of our priorities are childish.
 
Hawa waswahili wangejua wazungu wanavyowadharau na kuwachukia wala wasingefanya mambo kama haya. Ama kweli ujinga ni mzigo. Angekuwa anaendelea kufaidi kodi za wanigeria kama siyo kuponzwa na kutojua na kutaka mambo ya kizungu ambayo huwavutia malimbukeni wengi.
 
Hawa waswahili wangejua wazungu wanavyowadharau na kuwachukia wala wasingefanya mambo kama haya. Ama kweli ujinga ni mzigo. Angekuwa anaendelea kufaidi kodi za wanigeria kama siyo kuponzwa na kutojua na kutaka mambo ya kizungu ambayo huwavutia malimbukeni wengi.
Mbona Bibi yako kahepa bila kufaidi hizo Kodi? Acha chuki binafsi, haitakusaidia
 
Wanawake Aisee Wana mambo ya ajabu Sana yaani kibibi hakitaki kuzeeka kisa mumewe ana mapesa ya kuchezea
Sasa alitaka awe kipotabo Ili agundue Nini?
Aliona mzee anachepuka kwa vipotabo, na sisi zetu zile za "punguza tumbo hilo linaboa, unajua nilikupendea wembamba wako enzi zile" huwa zinawazingua.
 
Back
Top Bottom