leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi yule mdau mwenye lafudhi ya kichagga anayemchana mhe. Rais alikamatwa? Maana siku hizi sioni video zake YouTube
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa na weweUongo mwingine banaaaa kama vile unajitoa ufahamu
Sasa hio miaka ya 1960 hili kundi la hao wahuni lilikuwepo?
Hapa umetuthibitisha kua wewe ndio unajua historia kwelikweli.
Maendeleo hayana chama
Sina hakika kama hata umeelewa nilichao andika, rudia tena kunisoma then changia tu mkuu!?Kwa hiyo kama mama yako kafiri unamuua?
Ungelitumia kidogo tu sehemu ya akili yako ungelielewa swali langu.Sina hakika kama hata umeelewa nilichao andika, rudia tena kunisoma then changia tu mkuu!?