Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Uongo mwingine banaaaa kama vile unajitoa ufahamu
Sasa hio miaka ya 1960 hili kundi la hao wahuni lilikuwepo?
Hapa umetuthibitisha kua wewe ndio unajua historia kwelikweli.

Maendeleo hayana chama
Shangaa na wewe
Mwisho atasema wamekamatwa na iPhone walizokuwa wanatumia miaka ya 60 haha

Sent from my SM using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…