Mjue mchezaji mwenye umri mkubwa kuliko wote World Cup Urusi 2018

Mjue mchezaji mwenye umri mkubwa kuliko wote World Cup Urusi 2018

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
DDD.jpg

Goalkeeper Essam El-Hadary miaka 45 wa Misri aka Pharaohs ndiyo mchezaji mwenye umri mkubwa kuliko wachezaji wote watakao cheza michezo mbalimbali kwenye mashindano ya kombe la Dunia mwaka huu wa 2018 huko nchini Urusi

Mashindano yaliyopita Goalkeeper wa Colombia Faryd Mondragón miaka 43 ndiye alikuwa anashikilia rekodi ya mchezaji mwenye umri mkubwa yalifanyika nchini Brazil
 
Magoalkeeper wengi wanapozidi kuwa na umri mkubwa ndio wanakuwa na uwezo mkubwa sana wa kulinda lango. Namkumbuka Oliver Kahn, pia Buffon
 
View attachment 799610

Goalkeeper Essam El-Hadary miaka 45 wa Misri aka Pharaohs ndiyo mchezaji mwenye umri mkubwa kuliko wachezaji wote watakao cheza michezo mbalimbali kwenye mashindano ya kombe la Dunia mwaka huu wa 2018 huko nchini Urusi

Mashindano yaliyopita Goalkeeper wa Colombia Faryd Mondragón miaka 43 ndiye alikuwa anashikilia rekodi ya mchezaji mwenye umri mkubwa yalifanyika nchini Brazil
Egypt itabidi wachukue na magunia ya kutosha kubebea mabao watakayofungwa
 
hivi ile nchi ya jiwe nayo imeshiriki au maneno tu kila uchwao?naomba mnijulishe mnaoffuatilia soka,
 
Ingia FIFA.com angalia orodha ya vikosi vyote vya Kombe la Dunia wamekuwekea umri+kilo zao
Date of birth: 28 July 1993
• Age: 24 years old
• Place of birth: Walthamstow, England
• Nationality: English
• Height: 188cm / 6ft 2 ins
• Weight: 85.2kg / 188 lbs
• Wages: £110,000 a week
• Transfer value: £50 million
• Facebook: harrykaneofficial
• Instagram: harrykane
• Twitter: hkane
C&p
 
Date of birth: 28 July 1993
• Age: 24 years old
• Place of birth: Walthamstow, England
• Nationality: English
• Height: 188cm / 6ft 2 ins
• Weight: 85.2kg / 188 lbs
• Wages: £110,000 a week
• Transfer value: £50 million
• Facebook: harrykaneofficial
• Instagram: harrykane
• Twitter: hkane
C&p
Jamaa hapo juu labda anachanganya Kg na Lb.. Akikujibu nitag
 
Back
Top Bottom