tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
Goalkeeper Essam El-Hadary miaka 45 wa Misri aka Pharaohs ndiyo mchezaji mwenye umri mkubwa kuliko wachezaji wote watakao cheza michezo mbalimbali kwenye mashindano ya kombe la Dunia mwaka huu wa 2018 huko nchini Urusi
Mashindano yaliyopita Goalkeeper wa Colombia Faryd Mondragón miaka 43 ndiye alikuwa anashikilia rekodi ya mchezaji mwenye umri mkubwa yalifanyika nchini Brazil