dogo punguza jazbaKwani huwezi kutafuta umri wao mbona mnapenda kila kitu kulishwa tu kama makinda
Egypt itabidi wachukue na magunia ya kutosha kubebea mabao watakayofungwaView attachment 799610
Goalkeeper Essam El-Hadary miaka 45 wa Misri aka Pharaohs ndiyo mchezaji mwenye umri mkubwa kuliko wachezaji wote watakao cheza michezo mbalimbali kwenye mashindano ya kombe la Dunia mwaka huu wa 2018 huko nchini Urusi
Mashindano yaliyopita Goalkeeper wa Colombia Faryd Mondragón miaka 43 ndiye alikuwa anashikilia rekodi ya mchezaji mwenye umri mkubwa yalifanyika nchini Brazil
Huu uzito ni wa hao wote wawili au harry kaneHarry Kane wa England na golikipa wa Iran ndo wenye kilo nyingi zaidi kila mmoja ana kilo 98.
Hujaona sentensi iliyoandikwa kila mmoja?Huu uzito ni wa hao wote wawili au harry kane
Ulishamuona harry kane lakini au na wewe umehadithiwa?Hujaona sentensi iliyoandikwa kila mmoja?
Acha akili zajiwe kijana unazan uzito nikua nakitambi kane anakilo 98 nandio mzito zaid kuliko akina lukakuUlishamuona harry kane lakini au na wewe umehadithiwa?
Acha akili zajiwe kijana unazan uzito nikua nakitambi kane anakilo 98 nandio mzito zaid kuliko akina lukaku
Ingia FIFA.com angalia orodha ya vikosi vyote vya Kombe la Dunia wamekuwekea umri+kilo zaoUlishamuona harry kane lakini au na wewe umehadithiwa?
Date of birth: 28 July 1993Ingia FIFA.com angalia orodha ya vikosi vyote vya Kombe la Dunia wamekuwekea umri+kilo zao
Jamaa hapo juu labda anachanganya Kg na Lb.. Akikujibu nitagDate of birth: 28 July 1993
• Age: 24 years old
• Place of birth: Walthamstow, England
• Nationality: English
• Height: 188cm / 6ft 2 ins
• Weight: 85.2kg / 188 lbs
• Wages: £110,000 a week
• Transfer value: £50 million
• Facebook: harrykaneofficial
• Instagram: harrykane
• Twitter: hkane
C&p