Mjue Mfalme Constantine I wa Roma

mkuu hizi ni story ambazo zimepotoshwa mno ili kuhalalisha jumapili
 
Sabato ilianzia eden Mungu alipopumzika siku ya saba,

MWANZO 2:1-4​

1Hivyo ndivyo mbingu na dunia zilivyokamilika pamoja na vitu vyote vilivyomo. 2Siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyofanya; siku hiyo ya saba Mungu akapumzika baada ya kazi yake yote aliyofanya. 3Mungu akaibariki siku ya saba na kuitakasa, kwa kuwa siku hiyo Mungu alipumzika baada ya kazi yake yote ya kuumba. 4Hivyo ndivyo mbingu na dunia zilivyoumbwa.

ikatunzwa hata Jangwani wakati waisrael wakisafiri kwenda kanani

Kutoka 16:23-26

Mose akawaambia, “Hivi ndivyo alivyoagiza Bwana: ‘Kesho itakuwa siku ya mapumziko, Sabato takatifu kwa Bwana. Kwa hiyo okeni kile mnachotaka kuoka na mchemshe kile mnachotaka kuchemsha. Hifadhini chochote kinachobaki na mkiweke mpaka asubuhi.’ ”
24Kwa hiyo wakavihifadhi mpaka asubuhi, kama Mose alivyoagiza, na havikunuka wala kuwa na mabuu. 25Mose akawaambia, “Kuleni leo, kwa sababu leo ni Sabato kwa Bwana. Hamtapata chochote juu ya nchi leo. 26 Kwa siku sita mtakusanya, lakini siku ya saba, yaani Sabato, hakutakuwepo chochote.”
Sabato Ikakumbushiwa tena kwenye amri kumi na Yesu na mitume waliitunza Kutoka 20:8

Yesu alielekeza baadhi ya vitu vya kufanya siku ya sabato

MWANZO 2​

1Hivyo ndivyo mbingu na dunia zilivyokamilika pamoja na vitu vyote vilivyomo. 2Siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyofanya; siku hiyo ya saba Mungu akapumzika baada ya kazi yake yote aliyofanya. 3Mungu akaibariki siku ya saba na kuitakasa, kwa kuwa siku hiyo Mungu alipumzika baada ya kazi yake yote ya kuumba. 4Hivyo ndivyo mbingu na dunia zilivyoumbwa.

Sabato ilikuwepo miaka Yote, lakini mnamo mwaka 321, baada ya wapagani kuingia ndani ya kanisa waliiondoa sabato na kuiweka jumapili, na wale waliokuwa wanapinga wengi waliuwawa na wengine walikimbilia misituni, Kuanzia mwaka 1776 watu wengi kutoka ulaya walianza kukimbilia Amerika ambako kulikuwa na uhuru wa Dini, hivyo hata wale waliokuwa wanatunza sabato maporini ikabidi wakimbilie Amerika, ijapokuwa walikuwa katika Nchi yenye uhuru wa Dini, lakini bado hawakujitokeza kwa uwazi sana, maana walikuwa wanawaogopa Wakatoliki.


Ndipo ulipofika mwaka 1845, ikabidi waanze kudhihirisha imani yao ikiwemo kutangaza sabato ya kweli, maana watu wote walikuwa wanatunza jumapili. Watu hawa wakaandaa vijizuu vinavyoonesha umuhimu wa sabato, February 8, 1845 bwana mmoja aliyeitwa T.M Preble alichapisha vijarida, kinachonesha kwamba sabato ni moja ya amri kumi za Mungu, vijajarida na vipeperushi hivyo viliwafikia watu wengi wakiwemo wachungaji wa makanisa ya jumapili, na wengi wakaacha kufanya ibada jumapili baada ya kuujua ukweli.

Siku moja James White na Ellen White walipata kijarida chenye somo la sabato, na baada ya kusoma kijarda hicho na wakarizika na ushahidi wa mafungu, ndipo na wao wakaanza kutunza sabato.

Kama ambavyo Ellen mwenyewe anashuhudia akisema:

“”Kaika kipindi cha kipupwe cha mwaka 1846, tulianza kutunza sabato ya Biblia, kufundisha na kuitetea””, Testimonies Vol 1 Uk. 75.

Lakini watu wengi hudai kwamba Ellen ndiye aliyeanzisha sabato huo ni #UWONGO MKUBWA, maana Ellen G White naye alihubiriwa na baada ya kuuamini hle ujumbe akajiunga na watunza sabato, wakati huo tayari kulikuwa na watu waliomtangulia kuupokea ujumbe wa sabato.

Lakini baadhi huaminishwa kwamba Ellen alipata maono ya sabato, na kuiona amri ya 4 inang’aa kupita nyingine, na ndipo baada ya hapo ndipo akaanzisha utunzaji wa sabato.

Ni kweli maono hayo alipata, lakini akiwa tayari anatunza sabato, na alipewa kama uthibitisho kwamba sabato ni kweli inabidi itunzwe. Yeye mwenyewe Ellen anashuhudia akisema:

“”Niliamini ukweli juu ya suala la sabato kabla sijaona chochpte katika maono kinachohusiana na sabato. Ilikuwa baada ya miezi kadhaa nimeanza kutunza sabato ndipo nilionyeshwa umuhimu wake na nafasi yake katika ujumbe wa malaika watatu””:
Ellen G White letters 2, 1874( Maandiko ya awali xxiii)

Na kuanzia hapo wakapatikana watu wengi waliojiunga na watunza sabato, na ilipofika mwaka 1863, ndipo likapatikana jina la Seventh Day Adventist (SDA) Ikiwa na maana ni Watu wanaosubiri marejeo ya Yesu mara ya pili, wakiitunza sabato ya siku ya saba.

Hivyo ukifuatilia kwa Umakini utaona kwamba:

Ellen G White hajawahi kutabiri kwamba mwisho wa Dunia ni mwaka 1844
Ellen G White hajawahi kuanzisha kanisa, wala sabato,
William Miller hajawahi kutunza sabato wala kuanzisha Kanisa.
 

Huwa sioni tofauti kati ya Waislamu na Wasabato, mko kwenye Same category.

Akili hizihizi ndio waislamu wanakwambia Adam alikuwa mwislamu wakati Uislamu ulikuwa miaka zaidi ya 300 baada ya Ukristo.

Sasa na nyinyi ni walewale SDA imeanzishwa 1800's hapa unasema kanisa limeanzia mbinguni kama siyo bangi ni nini hiki?
 
Mkuu usitulinganishe na Waislam 😆😆 hizo akili za waislam waliwekewa na RC katika mkakati wao wa kupenya mashariki ya kati
Sijui kama una phd kweli
Jina ni nini. ni utambulisho ambao ulikuja kwa ajili tu ya uhitaji wa usajili wa taasisi
lakini suala la utunzaji na watunzaji sabato lipo toka enzi na enzi
liliminywa tu na RC wakiongozwa na mfalme constantine ,watu wakawa wanatunza kwa kujificha
 
Chuki yako haikusaidii sana sana itakutafuna wewe mwenyewe maana umezaliwa umekuta Muhammad ni nabii wa Mungu na utakufa atacha Muhammad akiwa bado ni mtume wa Mungu

Wewe huna adabu Kwa mitume ya Mungu Kwa sababu Mtume wako ni Constantinople

Constantinople ndio uliyekutengenexea dini ya ukristo

Constantinople ndio aliyokuambia uende kanisani siku ya Jumapili

SUNDAY ni nimuunganiko wa mananeno mawili SUN Yani Jua na DAY ni siku

Ni siku ambayo Constantinople alikuwa anafanya Ibada ya kumuamudu Mungu wake JUA

Ndio akataka na nyinyi wafuasi wake muungane naye katika kuabudu Mungu Jua

Wewe ni mjinga badala ufuate Maagizo ya Mungu na manabii wake wewe unafuata maagizo ya Constantinople

Kama unalo andiko Mungu au Yesu anakuambia siku ya Jumapili ndio siku ya Ibada weka hapa nakuwa mkristo Leo leo
 
Sasa wewe Una tofauti gani na huyo? huo Uislamu mbona umeanzishwa na Vatican?
 
Na akaangiza upagani kwenye Ukristo. Watawa wa miungu ya Roma wakawa miungu wa Kikristo. Sherehe ya kuabudu jua ikawa Krismasi.
 
Sorry mkuu. Ukisoma bibilia kuanzia Agano la kale mpaka unamaliza vitabu vyote huwezi kuona neno kanisa.
Pia ukianza Agano jipya injili zote kwa Maana ya Mathayo, Marko, Luka na Yohana neno kanisa ndio tunaanza kulisikia/kulisoma. Tena mwishoni kabla Yesu ajapaa.
Alimwambia Petro kwamba katika mwamba huu nitalijenga kanisa.

MASWALI.
1. Mwamba pale ni nani? Kati ya petro na Yesu
2. Paul akiwa gerezani alikiwa akiandika waraka kwenda kwa makanisa ya Galatia, Wakorintho, Salonimke nk. Haya makanisa yalikuwa ni makanisa yapi? Roma? SDA?
3. Biblia ni mali ya nani? Yaani nani aliianda na kuikusanya vitabu vyote kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Nani aliweka huo mpangilio.

Mtukutu wa Nyaigela
 
Kwani Haniyya yeye alisoma wali?
 

Hivi kanisa kwa kiengereza linaitwaje ??

Tafadhali tuwekee ushahidi wa maneno yako kutoka kwenye vitabu vya dini au historia
 
Muhammad alizaliwa miaka 600 baada ya kristo.

Lakini kama una nia ya kujifunza na kuupata ukweli ni Ukristo ndio ulimuinfluence Muhammad kuwa hivyo hasa baada ya kuchanganya dini na siasa, Wakristo walikuwa na jeshi lililofanya mauwaji sana rejea crusade.

Unachokiona kwa Islamic state leo ni cooy and paste ya crusaders miaka hiyo.
 
👍👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…