Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

who is he?

hebu tupeni wasifu wake tafadhali........
 
Ndugu Omari Ilyas, nimesoma maswali yako nimeyaelewa. Yanachokonoa ubongo. Lakini, kwa maoni yangu, na hii ndio bottom line, swali muhimu zaidi ni hili: Je, Said Mzee said anazo sifa muhimu kwa mujibu wa Kkatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Huu ndio msingi mkuu kuhusu nani anapaswa na anaweza kuwa mtumishi wa umma katika ngazi zote, kuanzia Ikulu mpaka kwenye kitongoji. Kama jawabu kwa swali hili ni ndio, basi, tumuunge mkono. Lakini, kuna angalizo, kama jibu ni ndio, ila tatizo ni kwamba vigezo vya Kikatiba ni hafifu, basi hilo ni tatizo kubwa zaidi. Tunayo maoni gani kuhusu maswali haya mawili?

Nivoj Sued.

Hivi mgombea mwenza si ndiye anayepaswa kushika majukumu ya urais pindi rais anaposhindwa kutekeleza ama kupatwa na matatizo makubwa? Hivi makamu wa rais si ndio mshauri mkuu wa rais katika maamuzi? Hivi mgombea mwenza ama makamo wa rais si ndio msimamizi mkuu wa masuala ya muungano? Hivi kiutamduni hapa Tanzania Makamo wa rais si ndio Mzee wa busara anayepaswa kuwa speed governor ya mapungufu ya rais?

Inaelekea kwa wengi wetu hapa mgombea mwenza is just another stupid consititution need and vote machine and no more than that...

Lets be serious jamani, Maslahi ya Taifa ni pamoja na kuwa responsible katika suala nyeti kama Umakamu Rais...ama rais wa akiba

omarilyas
 
Akizungumzia suala la elimu ya mgombea wake mwenza Said Mzee Said, ambaye ana elimu ya shule ya msingi, alisema haoni kama hilo ni tatizo.

Alisema, hata Katiba ya nchi inazungumzia wazi sifa za kiongozi kuwa ni umri, utaifa, awe na akili timamu na ajue Kiswahili au kingereza sifa ambazo mgombea huyo anazo.

Source HabariLeo


Kweli hawa Chadema hawakuji andaa kusimamisha mgombea urais bali wamekurupuka tu (wame kurupushwa) Habari ya kutuletea mgombea mwenza ( makamu wa rais mtarajiwa ) kuwa mhitimu wa darasa la saba ni joke ya mwaka.

Dr Slaa anatetea hili na kudai Sokoine pia alikuwa na elimu ndogo anasahau au hajui au kwa makusudi anapotosha kuwa Sokoine alikuwa darasa la saba.

Talk about kufanya mambo zima moto style!


 
Tembelea hapa

Said Mzee MZEE - Tanzania | LinkedIn

08_10_177eaa.jpg
 
SKada2
Source makamba nini kama ni hilo gazeti mbona hujaweka toleo gani ?maana jamaa anafundisha na ana masters.

Ambaye hana elimu ni mkwere aliyepelekwa chuo kikuu kwa kuwa alikuwa kada wa CCM na kuhamasisha wakwere

wasome.Na hii ilijihirisha wazi alipo ibuka na GPA 2.0 ,ilikuwa a disco ila kwa kuwa kada ndio wakamtoa kimaso maso kwenye

mstari 2.0. Evidance zaidi ni maneno yake si ya kielimu,ilipoifikisha nchi ilipo si kwa status ya mtu aliyesoma uchumi na

inasikitisha zaidi hata mazungumzo ya kawaida na viongozi wenzake anasoma alichoandikiwa poor mkwere labda mtuambie

inasababishwa na magonjwa yake.Alitia aibu zaidi alipokuwa anaongea na Obama.
 
Bosi wake Slaa anasema ni darasa la saba, hiyo link inadai yeye ni "lecturer" lakini haionyeshi kasomea wapi ili nasi tupate kudadavua hapa
 
Dr Kikwete akiongea??? na Obama........... "Aiseee, sijui niliishia wapi kuongea....."

Obama-kikwete.jpg
 
Bosi wake Slaa anasema ni darasa la saba, hiyo link inadai yeye ni "lecturer" lakini haionyeshi kasomea wapi ili nasi tupate kudadavua hapa
Mambo huwa hayaendi hivyo kama unataka kuona full profile kwenye hiyo link lazima uwe member wao join na wewe utoe profile yako sio kuomba profile za wenzako tu.
 
Bwana we huyu mtu hamna kitu mimi nilishasema mapema mbona chadema wanapoteza network...si bora wangemchaguwa Hamad Yussuf walau kafika O-level?
 
Bwana we huyu mtu hamna kitu mimi nilishasema mapema mbona chadema wanapoteza network...si bora wangemchaguwa Hamad Yussuf walau kafika O-level?

so o'level na master elimu kubwa ni ya o'level ,basi tuna kazi
 



Kweli hawa Chadema hawakuji andaa kusimamisha mgombea urais bali wamekurupuka tu (wame kurupushwa) Habari ya kutuletea mgombea mwenza ( makamu wa rais mtarajiwa ) kuwa mhitimu wa darasa la saba ni joke ya mwaka.

Dr Slaa anatetea hili na kudai Sokoine pia alikuwa na elimu ndogo anasahau au hajui au kwa makusudi anapotosha kuwa Sokoine alikuwa darasa la saba.

Talk about kufanya mambo zima moto style!



Tatizo liko wapi kwani hao madokta wameshatufanyia nini? Angalau anajuwa Kingereza atakuwa kiungo mzuri katika shirikisho la Afrika Mashariki kwani hivyo ni kitu adimu hata kwa magraduates wetu!
 
Said Mzee MZEE’s
Experience
LECTURER
ZIFA
(Education Management industry)

Currently holds this position

Ndiye huyu ? Nafikiri tunahaki ya kujua zaidi kuhusu huyu mgombea...
 
hee mbona mgombea mwenza kanuna?!

nini kifefu cha ZIFA?
 
raisi hamna pale anasoma hotuba ,anasoma hata mazungumzo ya kawaida tuu sasa chek Obama anavyomchora sijui anacheka kaamua kuficha mdomo, ,CHADEMA hawawezi kuchagua mgombea mwenza std 7 ,kuna ma doctor na ma prof kibao chamani ,mgombea wetu mwenyewe dr halafu mgombea mwenza awe la saba wataelewana vipi?acheni ujinga hapa tuelimishane bwana
 
Dr Kikwete akiongea??? na Obama........... "Aiseee, sijui niliishia wapi kuongea....."

Obama-kikwete.jpg

Nimcheka sana ile picha ya mazungumzo na obama.... ... Hahah...
Nafikiri huyu jamaa siku analipokutana na FL1 aliandikiwa maneno..........akawa anamsomea FL1.........kama ifuatavyo.......

Ndugu Mhusika(yaani FL1), mimi ni jeykey
Dhumuni hasa la kukuita leo ni.....................
Mwisho nitashukuru sana kama nitajibiwa ombi langu natanguliza shukrani
Wako katika ujenzi wa taifa.
Ha ha haaa....................Aiseeeeeeee
 
Back
Top Bottom