Hivi mgombea mwenza si ndiye anayepaswa kushika majukumu ya urais pindi rais anaposhindwa kutekeleza ama kupatwa na matatizo makubwa? Hivi makamu wa rais si ndio mshauri mkuu wa rais katika maamuzi? Hivi mgombea mwenza ama makamo wa rais si ndio msimamizi mkuu wa masuala ya muungano? Hivi kiutamduni hapa Tanzania Makamo wa rais si ndio Mzee wa busara anayepaswa kuwa speed governor ya mapungufu ya rais?
Inaelekea kwa wengi wetu hapa mgombea mwenza is just another stupid consititution need and vote machine and no more than that...
Lets be serious jamani, Maslahi ya Taifa ni pamoja na kuwa responsible katika suala nyeti kama Umakamu Rais...ama rais wa akiba
omarilyas
Kweli hawa Chadema hawakuji andaa kusimamisha mgombea urais bali wamekurupuka tu (wame kurupushwa) Habari ya kutuletea mgombea mwenza ( makamu wa rais mtarajiwa ) kuwa mhitimu wa darasa la saba ni joke ya mwaka.Akizungumzia suala la elimu ya mgombea wake mwenza Said Mzee Said, ambaye ana elimu ya shule ya msingi, alisema haoni kama hilo ni tatizo.
Alisema, hata Katiba ya nchi inazungumzia wazi sifa za kiongozi kuwa ni umri, utaifa, awe na akili timamu na ajue Kiswahili au kingereza sifa ambazo mgombea huyo anazo.
Source HabariLeo
Mambo huwa hayaendi hivyo kama unataka kuona full profile kwenye hiyo link lazima uwe member wao join na wewe utoe profile yako sio kuomba profile za wenzako tu.Bosi wake Slaa anasema ni darasa la saba, hiyo link inadai yeye ni "lecturer" lakini haionyeshi kasomea wapi ili nasi tupate kudadavua hapa
Bwana we huyu mtu hamna kitu mimi nilishasema mapema mbona chadema wanapoteza network...si bora wangemchaguwa Hamad Yussuf walau kafika O-level?
Kweli hawa Chadema hawakuji andaa kusimamisha mgombea urais bali wamekurupuka tu (wame kurupushwa) Habari ya kutuletea mgombea mwenza ( makamu wa rais mtarajiwa ) kuwa mhitimu wa darasa la saba ni joke ya mwaka.
Dr Slaa anatetea hili na kudai Sokoine pia alikuwa na elimu ndogo anasahau au hajui au kwa makusudi anapotosha kuwa Sokoine alikuwa darasa la saba.
Talk about kufanya mambo zima moto style!
Said Mzee MZEEs
Experience
LECTURER
ZIFA
(Education Management industry)
Currently holds this position
Mr. Said S. Mzee, MBA (Finance and Banking) Mzumbe University - 2002. Lecturer Grade II ... (C)2008/2009 contact: contact: webmaster@zifa.ac.tz.
hee mbona mgombea mwenza kanuna?!
nini kifefu cha ZIFA?
Dr Kikwete akiongea??? na Obama........... "Aiseee, sijui niliishia wapi kuongea....."
Nafikiri huyu jamaa siku analipokutana na FL1 aliandikiwa maneno..........akawa anamsomea FL1.........kama ifuatavyo.......Nimcheka sana ile picha ya mazungumzo na obama.... ... Hahah...