Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
- Thread starter
- #21
afro dance...nyimbo saiz zinatrend kulingana na dance zakeLegwork ni nn mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afro dance...nyimbo saiz zinatrend kulingana na dance zakeLegwork ni nn mkuu?
Nimemuona anajitahidi...ila anajikuta kidumeee
ndo swagga saiv..chek kina koffee na young maNimemuona anajitahidi...ila anajikuta kidumeee
Wakuu kuna muda nilishawahi kujinasibisha kama Nabii. Sasa leo nawaletea huyu msanii wa mwaka huu anaitwa Midas the Jagaban
Natabiri kwa mwakani atakuwa kwenye conversation moja na kina Rema na Fireboy DML
*Ni mnigeria aliyekulia na anaishi London
*Hamna anayejua sura yake anavaaga mask
*Ni mwanamke
Ana nyimbo mbili tu, moja ilitoka mwez wa sita (come we bill ehh). Nyingine ilitoka mwezi wa 10(Party with a Jagaban) lakini zinakimbiza sana Afrika na zote zitakutaka ufanye legwork/poco dance
Kina Fireboy DML na Rema wamepata mshindani
Cha ajabu hata hayuko Afrika
Wabongo tunakwama wapi?
Jagaban ni neno la kihausa/kiigbo lenye maana ya kiongozi au bwana wa vita kiongozi wa maaskari.
TomboyHuyo jagaba kwanini anaziba uso?
Na tako kaziba?